Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Wanabodi,

Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha, zimenisikitisha, kunihuzunisha, kuniogopesha, kunisononesha na kuninyongonyeza!, kuwa eti imeishaamuliwa (sitaji imeamuliwa na nani), kuwa mgombea wa urais wa mwaka 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli!.

Kilichonistua, kunitisha, kunihuzunisha, kunisikitisha, kunisononesha, kunigopesha na kuninyongoneza ni the reasons behind, sababu alizonitajia kada huyu za why mgombea wa CCM mwakani ni Magufuli, ambazo ndizo zimepelekea the inner core ya CCM kuamua mgombea wake wa urais wa 2015 ni lazima awe John Pombe Magufuli tuu, and no one else!.

Kwa vile sababu hizo alizonitajia, baadhi kweli ni sababu za msingi na ziko justifiable kwa any reasonable man, sababu nyingine alizonitajia sio tuu ni unreasonable, bali pia ni unjustifiable! na hazikubaliki kabisa katika Tanzania ya leo!.

Naomba kwa sasa nisizitaje kwanza hizo sababu nilizotajiwa za kwa nini ni Magufuli, kwa sababu habari zenyewe nimezisikia juu juu tuu tena from just a single source, hivyo nahitaji kwanza kujiridhisha kwa kufanya verification kwa ku double check, na ku cross check ikiwemo kupata a collaborative verification na attribution ya third parties ili nijiridhishe kuwa hii ni habari za kweli na kuthibitisha kuwa kumbe hivyo ndivyo the inner core ya CCM inavyoweza kufikia maamuzi ya mgombea wake wa urais based on sababu nilizo tajiwa!, then nitaziweka hadharani hizo sababu za kwa nini CCM imeamua mgombea wake wa urais kwa uchaguzi wa 2015 lazima awe ni John Pombe Magufuli tuu na sio mtu mwingine yoyote!, na kiukweli mkizisikia hizo sababu nilizotahiwa, naamini hata nyinyi mtashangaa!.

Kwa kawaida sisi waandishi wa habari, ukipata taarifa kama hii, huwa inaitwa "a news tip", haukimbilii kuiandika mbio mbio mpaka kwanza uifanyie verification kwa kui double check na kui cross check ili kujiridhisha kwa kuthibitisha ukweli wa taarifa yenyewe, baada ya kuthibitisha na kujiridhisha kuwa ni kweli, ndipo unaiandika.

Lakini kwa vile sasa tunaishi kwenye dunia ya taarifa moto moto, "the world of information age", ukipokea tuu taarifa, unashare na wenzio, ndio maana na mimi nimeamua kuileta humu jf hii "news tip" hivi hivi ilivyo ikiwa kwenye hatua ya "tip" kabla hata ya verification, ili wewe kama mwana JF, uipate ile "JF advantage" ya "be the first to know!", yaani ukiwa mwana jf, unakuwa wa kwanza kujua, hivyo nawaombeni tuu sasa wana jf mkae mkijua kuwa "Mgombea wa urais wa CCM kwa mwaka 2015 ni John Pombe Magufuli!".

Hili la kuamua ni Magufuli, limenistua kidogo kwa sababu kwa sisi tuliomfuatilia utendaji kazi wa Magufuli kwa kauli na matendo tangu akiwa waziri, japo kiukweli ni mchapa kazi, yaani ni jambo la ukweli, lakini mtu huyu ameonyesha wazi sio mzuri sana in terms of stability in decision making!, amefanya baadhi ya maamuzi mengi tuu kwa jazba, pupa, papara na kukurupuka kwa mtindo wa nimeamua mimi na liwalo liwe!, mwisho wa siku baadhi ya maamuzi yake ambayo mengine ni very rational yanakuja kutu cost sisi kama taifa, mifano ipo, ikiwemo kuvunjwa ile Petro Station Mwanza, Uuzaji wa nyumba za serikali, Samaki wa Magufuli, just to mention but few, hivyo akipita na kuwa rais wa nchi hii, kama huu ndio mfumo wake wa kufikia maamizi, then you can just imagine, akiwa rais, atafanya maamuzi mangapi ambayo yatatucost kama taifa, ila pia kwa hulka yake, ana chance ya kuja kuwa the worst dictator this nation has ever had!. Tuombe Mungu asaidie, hili likitimia, huyu mtu abadilike, na kuwa a benevolent one, vinginevyo.. !.

Nikiisha "confirm" neno "tetesi" litaondolewa na kuwa replaced na neno "confirmed!", na nitaziweka hizo sababu nilizotajiwa ili sasa ndio zijadiliwe!, na nawahakikishia wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili, mkizisikia hizo sababu za huyo kada wa CCM alizonipa kwa nini ni Magufuli!, na nyinyi pia zitawashitua, zitawatisha, zitawaogopesha, kuwahuzunisha, kuwasikitisha, kuwasononesha na kuwanyongonyeza!.

Naomba nisiwatajie jina la huyo source wangu chini ya kinga ya kihabari kwa ma source inayoitwa "The Confidentiality of the source", na hapa wakati naileta taarifa hii humu jf, kwa vile zoezi la kumteua mgombea wa CCM bado liko mbali hadi mwaka ujao, unaweza kukuta hata Magufuli mwenyewe bado hajui kuwa ni yeye ndie atakuwa mgombea wa CCM, kwa sababu walio amua kuwa ni Magufuli sio kikao chochote rasmi na halali cha Chama Cha Mapinduzi, CCM bali ni "The Inner Circle" hivyo hii ni tip from the deep inside ya "the inner circle", na bahati mbaya sana, Magufuli mwenyewe hayuko kwenye hiyo "the inner circle!".

NB. Sio kila thread ni lazima ichangiwe, saa nyingine itoshe kujisomea tuu na kujipitia bila kuchangia chochote!. Hii ni just a news tip, kwa vile nimewaahidi naifanyia verification kuithibitisha, nawaombeni msiniulize swali lolote at this stage, kwa sababu sitajibu chochote!, and if possible nawashauri na nyingi msome FYE only na sio lazime mchangie kwa sasa na badala yake mvute subira kusubiria verification.

Sababu ya kuiwahisha humu JF kabla ya verification ni ili tuu wewe kama mwana JF to be the first to know!. Information is power!, if you are the first to know, then you'll have the powers to make good things happen or not to happen if they are bad things!.

Asante.
Paskali

Update: 12/07/2015

Leo hili limetimia ni kweli aliyepita ni Magufuli, nimezitafakari sababu nilizotajiwa ile siku napewa tetesi hii, na kuzipima na hiki kilichotokea, nimejikuta nimelazimika kutoziamini kuwa zile nilizosikia ndizo sababu zenyewe halisi.

Kwa sisi waandishi tuna kanuni ya kuandika only the truth, yaani kuandika nothing but the truth, sasa ili uweze kuandika jambo lolote, ni lazima jambo hili uwe ama umelishuhudia mwenyewe likitokea na ama umeelezwa na trusted sources na kujiridhisha kuwa ni la kweli, ndipo unaliandika.

Ikitokea ukilisikia jambo la mashaka mashaka, unapaswa ulipime kwanza, ujiridhishe na ukweli wake, ukiisha ridhika ndipo uliamini na ndio uliandike.

Kama ikitokea wewe kama mwandishi wa habari, ukasikia jambo lolote ambalo ni la mashaka huliamini, then hupaswi kuliandika, tena hata ikibidi usiliseme wala kuliandika ili lisijulikane.

Hivyo hizo sababu nilizotajiwa siku hiyo napewa tetesi hii kuwa mgombea urais wa CCM atakuwa ni John Magufuli, and why he has to John Pombe Magufuli only and nobody else, kwa sasa mimi siziamini, na kwa vile siziamini, naomba nisizitaje wala nisiziseme kabisa humu.

Hivyo naomba sasa tuchukulie bandiko hili kuwa ni mwana JF mmoja kwa jina la Paskali, nilijiandikia tuu kuwa mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015 atakuwa ni Dr. John Pombe Magufuli, na ikatokea tuu kuwa ni kweli, mgombea urais wa CCM kwa 2015 akawa ni John Pombe Magufuli, yaani I just happened

Nawaombeni sana tuchukulie kupitishwa kwa jina la Dr. John Pombe Magufuli, kuwa mgombea urais wa CCM, has just happened tuu na has nothing to do bandiko hili wala na sababu nilizotajiwa, bali kuhesabike tuu kuwa kumetokea tuu naturally, by chance, bila any pre meditated moves, na hili bandiko lichukuliwe tuu kama just a coincidence, kuwa mwana jf mmoja nilisema mgombea wa CCM kwa mwaka 2015 atakuwa ni John Pombe Magufuli na kweli ikatokea tuu coincidentally, mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015 kweli akawa ni Dr. John Pombe Magufuli.

Kwa mtakaonielewa asanteni kwa kunielewa, na kwa wale ambao ni wazito kuelewa mambo ya kufikirika tuu au ambao msio nielewa poleni na samahanini sana!.

Hongera sana Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi, CCM.

Paskali
SAWASAWA MKUU
MIMI NA HINT KIDOGO
SIALIKUAMBIA ULEMKATABA ALIO SAINI .....UNAOWAPA NGUV,,,...

NA NDIO WALIOUSHIRIKI.
 
..watu walikuwa hawa-pay attention tu.

..lakini tabia za Jpm zilikuwa zinajionyesha wazi kabisa mbele yetu.

..watu wangekuwa wanasikiliza vizuri matamshi yake wangejua kwamba Jpm si mtu anayependa kukosolewa. Na kwamba ukimkosoa atakulisha maneno, kukuzushia, na kukutolea majibu yasiyofaa.
Sio mtu mzur hata kidogo kuna story alimzuia mwenzie na trekta wakat wa kurudisha fomu wakat wakigombea ubunge wa chato huko jamaa akachelewa kurudisha fom ofisi zakafungwa akapita bila kupingwa ana figisu za kitoto na za kikatili sana fikiria yupo kwenye chama kimoja na mwenzie ana mtendea hivyo je walio nje ya ccm inakuwaje? Kwanza anaogopa ushindani anapenda mtelezo kwa taswira halisi kuita watendaji wa serikali za mitaa ikulu kuhujumu uchaguz wa serikali za mitaa bado mambo ya udhaifu sana
 
Ndio maa
Wanabodi,

Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha, zimenisikitisha, kunihuzunisha, kuniogopesha, kunisononesha na kuninyongonyeza!, kuwa eti imeishaamuliwa (sitaji imeamuliwa na nani), kuwa mgombea wa urais wa mwaka 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli!.

Kilichonistua, kunitisha, kunihuzunisha, kunisikitisha, kunisononesha, kunigopesha na kuninyongoneza ni the reasons behind, sababu alizonitajia kada huyu za why mgombea wa CCM mwakani ni Magufuli, ambazo ndizo zimepelekea the inner core ya CCM kuamua mgombea wake wa urais wa 2015 ni lazima awe John Pombe Magufuli tuu, and no one else!.

Kwa vile sababu hizo alizonitajia, baadhi kweli ni sababu za msingi na ziko justifiable kwa any reasonable man, sababu nyingine alizonitajia sio tuu ni unreasonable, bali pia ni unjustifiable! na hazikubaliki kabisa katika Tanzania ya leo!.

Naomba kwa sasa nisizitaje kwanza hizo sababu nilizotajiwa za kwa nini ni Magufuli, kwa sababu habari zenyewe nimezisikia juu juu tuu tena from just a single source, hivyo nahitaji kwanza kujiridhisha kwa kufanya verification kwa ku double check, na ku cross check ikiwemo kupata a collaborative verification na attribution ya third parties ili nijiridhishe kuwa hii ni habari za kweli na kuthibitisha kuwa kumbe hivyo ndivyo the inner core ya CCM inavyoweza kufikia maamuzi ya mgombea wake wa urais based on sababu nilizo tajiwa!, then nitaziweka hadharani hizo sababu za kwa nini CCM imeamua mgombea wake wa urais kwa uchaguzi wa 2015 lazima awe ni John Pombe Magufuli tuu na sio mtu mwingine yoyote!, na kiukweli mkizisikia hizo sababu nilizotahiwa, naamini hata nyinyi mtashangaa!.

Kwa kawaida sisi waandishi wa habari, ukipata taarifa kama hii, huwa inaitwa "a news tip", haukimbilii kuiandika mbio mbio mpaka kwanza uifanyie verification kwa kui double check na kui cross check ili kujiridhisha kwa kuthibitisha ukweli wa taarifa yenyewe, baada ya kuthibitisha na kujiridhisha kuwa ni kweli, ndipo unaiandika.

Lakini kwa vile sasa tunaishi kwenye dunia ya taarifa moto moto, "the world of information age", ukipokea tuu taarifa, unashare na wenzio, ndio maana na mimi nimeamua kuileta humu jf hii "news tip" hivi hivi ilivyo ikiwa kwenye hatua ya "tip" kabla hata ya verification, ili wewe kama mwana JF, uipate ile "JF advantage" ya "be the first to know!", yaani ukiwa mwana jf, unakuwa wa kwanza kujua, hivyo nawaombeni tuu sasa wana jf mkae mkijua kuwa "Mgombea wa urais wa CCM kwa mwaka 2015 ni John Pombe Magufuli!".

Hili la kuamua ni Magufuli, limenistua kidogo kwa sababu kwa sisi tuliomfuatilia utendaji kazi wa Magufuli kwa kauli na matendo tangu akiwa waziri, japo kiukweli ni mchapa kazi, yaani ni jambo la ukweli, lakini mtu huyu ameonyesha wazi sio mzuri sana in terms of stability in decision making!, amefanya baadhi ya maamuzi mengi tuu kwa jazba, pupa, papara na kukurupuka kwa mtindo wa nimeamua mimi na liwalo liwe!, mwisho wa siku baadhi ya maamuzi yake ambayo mengine ni very rational yanakuja kutu cost sisi kama taifa, mifano ipo, ikiwemo kuvunjwa ile Petro Station Mwanza, Uuzaji wa nyumba za serikali, Samaki wa Magufuli, just to mention but few, hivyo akipita na kuwa rais wa nchi hii, kama huu ndio mfumo wake wa kufikia maamizi, then you can just imagine, akiwa rais, atafanya maamuzi mangapi ambayo yatatucost kama taifa, ila pia kwa hulka yake, ana chance ya kuja kuwa the worst dictator this nation has ever had!. Tuombe Mungu asaidie, hili likitimia, huyu mtu abadilike, na kuwa a benevolent one, vinginevyo.. !.

Nikiisha "confirm" neno "tetesi" litaondolewa na kuwa replaced na neno "confirmed!", na nitaziweka hizo sababu nilizotajiwa ili sasa ndio zijadiliwe!, na nawahakikishia wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili, mkizisikia hizo sababu za huyo kada wa CCM alizonipa kwa nini ni Magufuli!, na nyinyi pia zitawashitua, zitawatisha, zitawaogopesha, kuwahuzunisha, kuwasikitisha, kuwasononesha na kuwanyongonyeza!.

Naomba nisiwatajie jina la huyo source wangu chini ya kinga ya kihabari kwa ma source inayoitwa "The Confidentiality of the source", na hapa wakati naileta taarifa hii humu jf, kwa vile zoezi la kumteua mgombea wa CCM bado liko mbali hadi mwaka ujao, unaweza kukuta hata Magufuli mwenyewe bado hajui kuwa ni yeye ndie atakuwa mgombea wa CCM, kwa sababu walio amua kuwa ni Magufuli sio kikao chochote rasmi na halali cha Chama Cha Mapinduzi, CCM bali ni "The Inner Circle" hivyo hii ni tip from the deep inside ya "the inner circle", na bahati mbaya sana, Magufuli mwenyewe hayuko kwenye hiyo "the inner circle!".

NB. Sio kila thread ni lazima ichangiwe, saa nyingine itoshe kujisomea tuu na kujipitia bila kuchangia chochote!. Hii ni just a news tip, kwa vile nimewaahidi naifanyia verification kuithibitisha, nawaombeni msiniulize swali lolote at this stage, kwa sababu sitajibu chochote!, and if possible nawashauri na nyingi msome FYE only na sio lazime mchangie kwa sasa na badala yake mvute subira kusubiria verification.

Sababu ya kuiwahisha humu JF kabla ya verification ni ili tuu wewe kama mwana JF to be the first to know!. Information is power!, if you are the first to know, then you'll have the powers to make good things happen or not to happen if they are bad things!.

Asante.
Paskali

Update: 12/07/2015

Leo hili limetimia ni kweli aliyepita ni Magufuli, nimezitafakari sababu nilizotajiwa ile siku napewa tetesi hii, na kuzipima na hiki kilichotokea, nimejikuta nimelazimika kutoziamini kuwa zile nilizosikia ndizo sababu zenyewe halisi.

Kwa sisi waandishi tuna kanuni ya kuandika only the truth, yaani kuandika nothing but the truth, sasa ili uweze kuandika jambo lolote, ni lazima jambo hili uwe ama umelishuhudia mwenyewe likitokea na ama umeelezwa na trusted sources na kujiridhisha kuwa ni la kweli, ndipo unaliandika.

Ikitokea ukilisikia jambo la mashaka mashaka, unapaswa ulipime kwanza, ujiridhishe na ukweli wake, ukiisha ridhika ndipo uliamini na ndio uliandike.

Kama ikitokea wewe kama mwandishi wa habari, ukasikia jambo lolote ambalo ni la mashaka huliamini, then hupaswi kuliandika, tena hata ikibidi usiliseme wala kuliandika ili lisijulikane.

Hivyo hizo sababu nilizotajiwa siku hiyo napewa tetesi hii kuwa mgombea urais wa CCM atakuwa ni John Magufuli, and why he has to John Pombe Magufuli only and nobody else, kwa sasa mimi siziamini, na kwa vile siziamini, naomba nisizitaje wala nisiziseme kabisa humu.

Hivyo naomba sasa tuchukulie bandiko hili kuwa ni mwana JF mmoja kwa jina la Paskali, nilijiandikia tuu kuwa mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015 atakuwa ni Dr. John Pombe Magufuli, na ikatokea tuu kuwa ni kweli, mgombea urais wa CCM kwa 2015 akawa ni John Pombe Magufuli, yaani I just happened

Nawaombeni sana tuchukulie kupitishwa kwa jina la Dr. John Pombe Magufuli, kuwa mgombea urais wa CCM, has just happened tuu na has nothing to do bandiko hili wala na sababu nilizotajiwa, bali kuhesabike tuu kuwa kumetokea tuu naturally, by chance, bila any pre meditated moves, na hili bandiko lichukuliwe tuu kama just a coincidence, kuwa mwana jf mmoja nilisema mgombea wa CCM kwa mwaka 2015 atakuwa ni John Pombe Magufuli na kweli ikatokea tuu coincidentally, mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015 kweli akawa ni Dr. John Pombe Magufuli.

Kwa mtakaonielewa asanteni kwa kunielewa, na kwa wale ambao ni wazito kuelewa mambo ya kufikirika tuu au ambao msio nielewa poleni na samahanini sana!.

Hongera sana Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi, CCM.

Paskali
Ndio maana watu wanakuhisi ni wale jamaa...
 
Mkuu SueIsmael, this is debatable, kipi muhimu zaidi kati kufanya igizo la uchaguzi and spends millions ambazo hatuna, or tuweke katiba pembeni, jamaa aendelee tuu hadi 2025 and we save, time, money and resources.
P
Hata kama unajua mwizi ana uwezo wa kuiba ndani ya nyumba yako usiache mlango wazi
Ufunge ili avunje kesho habari iwe wazi kuwa lile jambazi limevunja tena kuiba
Justfor the record
 
magufuli ni mchapakazi lakini hafai kuwa kwa rais kwa sababu zifuatazo
1. intellectual arrogance - anadhan kua anajua kila kitu na akishaamua basi hakuna wazo jipya litakalokuja kuimprove alichoamua ni lazima kifanyike ivyo ivyo au hakuna wazo jipya litalomfanya abadili maamuz kwamba hicho anachokitaka kinawez kisiwe sahihi kwa mfano alivyokua anavunjia watu ovyo mpaka aliposhinwa ile kesi mahakamani wakat yy alikua anang'ang'ania kua anatimiza sheria.

2. hana uvumilivu - kiongoz bora yoyote lazima awe mvumilivu hasa anapokosolewa kwa mfano anapandoisha jazba kwa mambo madogo aliwambia watu wasioweza lipa nauli mpya ya kivuko wapige mbizi wakat kiongoz mzuri angekaa kimya tu.

3. anafata sheria kisabato - sheria hata kama ipo mda mwingine busara itumike kwa mfano anapong'ang'ania kuvunjia watu hata sehem zisizo na tija bila huruma nadhan akipewa lungu la urais watu watasaga meno kwa kigezo cha kufata sheria. ndo mana hata jesus aliuliza its ok usifanye kazi jmosi lakini ngombe wako akidumbukia mtoni hutamtoa busara ya bwana magufuli ni kwamba sitamtoa acha afe!!!

4. atakua haeshim judiciary - kitendo chake cha kujitafisira sheria anavyojua na kuzitekeleza kitamcost na kitasumbua watu akiwa rais, mara zaid ya 2 mahakama ndio imetoa nishai kwa kutengua maamuz yake ambayo yy alikua anadai anafata sheria nk

magufuli ni mtendaji mzuri nadhan kwa nafasi ya urais unaitaji caliber ya juu kidogo zaidi ya utendaji ambayo bwana magufuli hana nampenda kwa uchapa kazi wake lakini kwa urais hapana the maximum he can go up ni kua prime minister si zaid ya apo.

the ultimate glory i honestly fee should go to Dk. Harrison mwakyembe, he is composed, mchapa kazi na sheria anazijua vizur and he got the caliber kuwa mvumilivu!!!

sitta is simply lacking some know how and smartness, and he has already passed his sell by date!!!
Miaka 6 sasa
 
Halafu Pascal Mayalla hawa wa ccm huwa wanasukumiziwa huko kutokana na mfumo wao mbovu kabisa. Refer to Magu mwenyewe ambaye wengi wanaamini kuingia kwake ikulu ilikuwa ni sawa na kuokota dodo bivu chini ya mnazi!
Mkuu J Mushi, nakubaliana na wewe baadhi ya viongozi wa CCM, wanasukumizwa tuu. Ukisoma tarehe ya bandiko hili, utagundua walioamua Magufuli ndio awe rais wetu 2015 sio Magufuli mwenyewe, na wakati wanaamua hivyo wala Magufuli alikuwa hajui wala hakuambiwa!.

Hivyo mwenyewe anaamini alibeep tuu simu ikapolelewa kabla hajakata.

Ndiyo maana siipendi ccm hata kidogo.
 
Ndiyo maana siipendi ccm hata kidogo.
Sasa huko kutopenda CCM hata kidogo ni tatizo,
Sisi Wakristu tumefunzwa hata adui mpende!. Kwenye fani yetu ya habari, kuna somo la PR, ambapo the first component ni kitu kinachoitwa "appreciating the situation", kuikubali hali halisi.

Baada ya rais Magufuli kushinda urais kihalali katika uchaguzi mkuu huru na wa haki, automatically unaelewa he is going to be there for the next 10 years, hivyo hata uwe humpendi vipi, there is nothing anyone can do, labda ndoto ya Lema itimie, hivyo the best way forward ni appreciating the situation na kumkubali, umpende usimpende, hivyo baada tuu ya kupiga kura, hata kabla matokeo hayatangazwa rasmi, mimi nilitoa ushauri huu

Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

The same applies to CCM, baada ya kujua kuwa CCM itatawala milele, kwanza nimeikubali, pia nikatafuta public opinion ya wadau humu,

Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair!.

Sasa nimebakiza hatua moja tuu ya mwisho, kuunga mkono juhudi.

P.
 
We mtu una akili Sana kuliko hata mtoa uzi
magufuli ni mchapakazi lakini hafai kuwa kwa rais kwa sababu zifuatazo
1. intellectual arrogance - anadhan kua anajua kila kitu na akishaamua basi hakuna wazo jipya litakalokuja kuimprove alichoamua ni lazima kifanyike ivyo ivyo au hakuna wazo jipya litalomfanya abadili maamuz kwamba hicho anachokitaka kinawez kisiwe sahihi kwa mfano alivyokua anavunjia watu ovyo mpaka aliposhinwa ile kesi mahakamani wakat yy alikua anang'ang'ania kua anatimiza sheria.

2. hana uvumilivu - kiongoz bora yoyote lazima awe mvumilivu hasa anapokosolewa kwa mfano anapandoisha jazba kwa mambo madogo aliwambia watu wasioweza lipa nauli mpya ya kivuko wapige mbizi wakat kiongoz mzuri angekaa kimya tu.

3. anafata sheria kisabato - sheria hata kama ipo mda mwingine busara itumike kwa mfano anapong'ang'ania kuvunjia watu hata sehem zisizo na tija bila huruma nadhan akipewa lungu la urais watu watasaga meno kwa kigezo cha kufata sheria. ndo mana hata jesus aliuliza its ok usifanye kazi jmosi lakini ngombe wako akidumbukia mtoni hutamtoa busara ya bwana magufuli ni kwamba sitamtoa acha afe!!!

4. atakua haeshim judiciary - kitendo chake cha kujitafisira sheria anavyojua na kuzitekeleza kitamcost na kitasumbua watu akiwa rais, mara zaid ya 2 mahakama ndio imetoa nishai kwa kutengua maamuz yake ambayo yy alikua anadai anafata sheria nk

magufuli ni mtendaji mzuri nadhan kwa nafasi ya urais unaitaji caliber ya juu kidogo zaidi ya utendaji ambayo bwana magufuli hana nampenda kwa uchapa kazi wake lakini kwa urais hapana the maximum he can go up ni kua prime minister si zaid ya apo.

the ultimate glory i honestly fee should go to Dk. Harrison mwakyembe, he is composed, mchapa kazi na sheria anazijua vizur and he got the caliber kuwa mvumilivu!!!

sitta is simply lacking some know how and smartness, and he has already passed his sell by date!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huko kutopenda CCM hata kidogo ni tatizo,
Sisi Wakristu tumefunzwa hata adui mpende!. Kwenye fani yetu ya habari, kuna somo la PR, ambapo the first component ni kitu kinachoitwa "appreciating the situation", kuikubali hali halisi.

Baada ya rais Magufuli kushinda urais kihalali katika uchaguzi mkuu huru na wa haki, automatically unaelewa he is going to be there for the next 10 years, hivyo hata uwe humpendi vipi, there is nothing anyone can do, labda ndoto ya Lema itimie, hivyo the best way forward ni appreciating the situation na kumkubali, umpende usimpende, hivyo baada tuu ya kupiga kura, hata kabla matokeo hayatangazwa rasmi, mimi nilitoa ushauri huu

Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

The same applies to CCM, baada ya kujua kuwa CCM itatawala milele, kwanza nimeikubali, pia nikatafuta public opinion ya wadau humu,

Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair!.

Sasa nimebakiza hatua moja tuu ya mwisho, kuunga mkono juhudi.

P.
Unga juhudi mkuu alafu utuletee utabiri wa mgombea 2025
 
Nilimpigia kura huyu lakini kaharibu sana. Alikuwa na nafasi ya kuwa rais mmoja popular sana.

Hoja hapa ni ccm, haya matango pori mengine walishe wengine.
 
Kiukweli nimekupenda sana Mkuu J Mushi kwa jinsi ulivyo truthfully, frankly and very genuine!, ile kusema tuu kuwa ulimpigia kura Magufuli, huku huipendi CCM!, hii maana yake wewe ulichagua mtu!, Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Sasa andamana nami kidogo.
  1. Kauli huumba, nadhani humu ndani, muasisi wa kumuita Magufuli dikiteta ni mimi, nikajikuta kadri tunavyomuita dikiteta, ni kauli zetu zinamuumbia huo udikiteta, alikuwa kila akisema kitu, akifanya kitu, ninakitafutia makosa tuu na zile negatives na kuzisema, kumbe ndio tunazidi kumuumbia ubaya na alikuwa anakwenda kuwa dikiteta kweli!.
  2. Nikabadili mtazamo, badala ya kuconcentrate na mabaya yake na madhaifu yake, nikaanza kuyaangazia mazuri yake, na badala ya kumuita Dikiteta Magufuli nikaanza kumuita Malaika Magufuli, na kweli akaanza kufanya vitendo vya kimalaika Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni kosa la nani kati yake na aliyetoa kauli hii?
  3. Angalia matukio haya nilisema nini humu, na pima ni muda gani ulipita hadi alipotekeleza hili. Tukianzia na Lulu alipohukumiwa kifungo kwa mauaji ya Kanumba Political Capitalization: Kufuatia Kupendwa na Wengi na Kumhurumia, Jee Tumuombee Msamaha wa Rais, ili Aachiwe Huru?.
  4. Kisha angalia nini kilifuata
  5. Hukumu ya Lulu Gerezani Imesaidia Wengi, Imesaidia Mengi!, Babu Seya Nje, TV Hadi Magerezani, Mazuri Mengi Zaidi Yaja!.
  6. Huu ni uthibitisho rais Magufuli ama anasoma jf, ama it's just a coincidence. Lakini kama ukishauri jambo jema kisha likatekelezwa, huu ni uthibitisho rais Magufuli ni mtu mwema.
  7. Kwavile human beings are not static, but they are dynamic and hence they change with time and space, Magufuli naye as a human being, is changing for the better, hivyo tukitumia nguvu ya kauli zetu kumuumbia mema, rais Magufuli will end up being the best president this country has ever had!.
  8. Kutumia kauli njema kuumba mema, kunaitwa affirmation, ni kutumia powers of speech kwa kutumia affirmative statements ambazo zimemgeuza rais Magufuli kutoka kuwa dikiteta mkatili hadi malaika mkombozi wa Taifa la Tanzania. Pitia mabandiko haya ya affirmatives
  9. Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!.
  10. Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
  11. Trend Reading: Rais Magufuli amebadilika, he is changing for the better, ameonyesha uwezo, anaweza!. Mei Mosi ya leo atapandisha mishahara!.
  12. Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.
  13. Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!.
  14. Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
  15. Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali
  16. Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike
  17. The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.
  18. Pongezi Rais Magufuli. Ameonesha uzalendo wa hali ya juu uliotukuka!, amebadilika, amejishusha, uchumi wa Tz kupaa!
  19. "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
  20. Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
P
 
Moja ya utabiri bora zaidi
Wanabodi,

Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha, zimenisikitisha, kunihuzunisha, kuniogopesha, kunisononesha na kuninyongonyeza!, kuwa eti imeishaamuliwa (sitaji imeamuliwa na nani), kuwa mgombea wa urais wa mwaka 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli!.

Kilichonistua, kunitisha, kunihuzunisha, kunisikitisha, kunisononesha, kunigopesha na kuninyongoneza ni the reasons behind, sababu alizonitajia kada huyu za why mgombea wa CCM mwakani ni Magufuli, ambazo ndizo zimepelekea the inner core ya CCM kuamua mgombea wake wa urais wa 2015 ni lazima awe John Pombe Magufuli tuu, and no one else!.

Kwa vile sababu hizo alizonitajia, baadhi kweli ni sababu za msingi na ziko justifiable kwa any reasonable man, sababu nyingine alizonitajia sio tuu ni unreasonable, bali pia ni unjustifiable! na hazikubaliki kabisa katika Tanzania ya leo!.

Naomba kwa sasa nisizitaje kwanza hizo sababu nilizotajiwa za kwa nini ni Magufuli, kwa sababu habari zenyewe nimezisikia juu juu tuu tena from just a single source, hivyo nahitaji kwanza kujiridhisha kwa kufanya verification kwa ku double check, na ku cross check ikiwemo kupata a collaborative verification na attribution ya third parties ili nijiridhishe kuwa hii ni habari za kweli na kuthibitisha kuwa kumbe hivyo ndivyo the inner core ya CCM inavyoweza kufikia maamuzi ya mgombea wake wa urais based on sababu nilizo tajiwa!, then nitaziweka hadharani hizo sababu za kwa nini CCM imeamua mgombea wake wa urais kwa uchaguzi wa 2015 lazima awe ni John Pombe Magufuli tuu na sio mtu mwingine yoyote!, na kiukweli mkizisikia hizo sababu nilizotahiwa, naamini hata nyinyi mtashangaa!.

Kwa kawaida sisi waandishi wa habari, ukipata taarifa kama hii, huwa inaitwa "a news tip", haukimbilii kuiandika mbio mbio mpaka kwanza uifanyie verification kwa kui double check na kui cross check ili kujiridhisha kwa kuthibitisha ukweli wa taarifa yenyewe, baada ya kuthibitisha na kujiridhisha kuwa ni kweli, ndipo unaiandika.

Lakini kwa vile sasa tunaishi kwenye dunia ya taarifa moto moto, "the world of information age", ukipokea tuu taarifa, unashare na wenzio, ndio maana na mimi nimeamua kuileta humu jf hii "news tip" hivi hivi ilivyo ikiwa kwenye hatua ya "tip" kabla hata ya verification, ili wewe kama mwana JF, uipate ile "JF advantage" ya "be the first to know!", yaani ukiwa mwana jf, unakuwa wa kwanza kujua, hivyo nawaombeni tuu sasa wana jf mkae mkijua kuwa "Mgombea wa urais wa CCM kwa mwaka 2015 ni John Pombe Magufuli!".

Hili la kuamua ni Magufuli, limenistua kidogo kwa sababu kwa sisi tuliomfuatilia utendaji kazi wa Magufuli kwa kauli na matendo tangu akiwa waziri, japo kiukweli ni mchapa kazi, yaani ni jambo la ukweli, lakini mtu huyu ameonyesha wazi sio mzuri sana in terms of stability in decision making!, amefanya baadhi ya maamuzi mengi tuu kwa jazba, pupa, papara na kukurupuka kwa mtindo wa nimeamua mimi na liwalo liwe!, mwisho wa siku baadhi ya maamuzi yake ambayo mengine ni very rational yanakuja kutu cost sisi kama taifa, mifano ipo, ikiwemo kuvunjwa ile Petro Station Mwanza, Uuzaji wa nyumba za serikali, Samaki wa Magufuli, just to mention but few, hivyo akipita na kuwa rais wa nchi hii, kama huu ndio mfumo wake wa kufikia maamizi, then you can just imagine, akiwa rais, atafanya maamuzi mangapi ambayo yatatucost kama taifa, ila pia kwa hulka yake, ana chance ya kuja kuwa the worst dictator this nation has ever had!. Tuombe Mungu asaidie, hili likitimia, huyu mtu abadilike, na kuwa a benevolent one, vinginevyo.. !.

Nikiisha "confirm" neno "tetesi" litaondolewa na kuwa replaced na neno "confirmed!", na nitaziweka hizo sababu nilizotajiwa ili sasa ndio zijadiliwe!, na nawahakikishia wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili, mkizisikia hizo sababu za huyo kada wa CCM alizonipa kwa nini ni Magufuli!, na nyinyi pia zitawashitua, zitawatisha, zitawaogopesha, kuwahuzunisha, kuwasikitisha, kuwasononesha na kuwanyongonyeza!.

Naomba nisiwatajie jina la huyo source wangu chini ya kinga ya kihabari kwa ma source inayoitwa "The Confidentiality of the source", na hapa wakati naileta taarifa hii humu jf, kwa vile zoezi la kumteua mgombea wa CCM bado liko mbali hadi mwaka ujao, unaweza kukuta hata Magufuli mwenyewe bado hajui kuwa ni yeye ndie atakuwa mgombea wa CCM, kwa sababu walio amua kuwa ni Magufuli sio kikao chochote rasmi na halali cha Chama Cha Mapinduzi, CCM bali ni "The Inner Circle" hivyo hii ni tip from the deep inside ya "the inner circle", na bahati mbaya sana, Magufuli mwenyewe hayuko kwenye hiyo "the inner circle!".

NB. Sio kila thread ni lazima ichangiwe, saa nyingine itoshe kujisomea tuu na kujipitia bila kuchangia chochote!. Hii ni just a news tip, kwa vile nimewaahidi naifanyia verification kuithibitisha, nawaombeni msiniulize swali lolote at this stage, kwa sababu sitajibu chochote!, and if possible nawashauri na nyingi msome FYE only na sio lazime mchangie kwa sasa na badala yake mvute subira kusubiria verification.

Sababu ya kuiwahisha humu JF kabla ya verification ni ili tuu wewe kama mwana JF to be the first to know!. Information is power!, if you are the first to know, then you'll have the powers to make good things happen or not to happen if they are bad things!.

Asante.
Paskali

Update: 12/07/2015

Leo hili limetimia ni kweli aliyepita ni Magufuli, nimezitafakari sababu nilizotajiwa ile siku napewa tetesi hii, na kuzipima na hiki kilichotokea, nimejikuta nimelazimika kutoziamini kuwa zile nilizosikia ndizo sababu zenyewe halisi.

Kwa sisi waandishi tuna kanuni ya kuandika only the truth, yaani kuandika nothing but the truth, sasa ili uweze kuandika jambo lolote, ni lazima jambo hili uwe ama umelishuhudia mwenyewe likitokea na ama umeelezwa na trusted sources na kujiridhisha kuwa ni la kweli, ndipo unaliandika.

Ikitokea ukilisikia jambo la mashaka mashaka, unapaswa ulipime kwanza, ujiridhishe na ukweli wake, ukiisha ridhika ndipo uliamini na ndio uliandike.

Kama ikitokea wewe kama mwandishi wa habari, ukasikia jambo lolote ambalo ni la mashaka huliamini, then hupaswi kuliandika, tena hata ikibidi usiliseme wala kuliandika ili lisijulikane.

Hivyo hizo sababu nilizotajiwa siku hiyo napewa tetesi hii kuwa mgombea urais wa CCM atakuwa ni John Magufuli, and why he has to John Pombe Magufuli only and nobody else, kwa sasa mimi siziamini, na kwa vile siziamini, naomba nisizitaje wala nisiziseme kabisa humu.

Hivyo naomba sasa tuchukulie bandiko hili kuwa ni mwana JF mmoja kwa jina la Paskali, nilijiandikia tuu kuwa mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015 atakuwa ni Dr. John Pombe Magufuli, na ikatokea tuu kuwa ni kweli, mgombea urais wa CCM kwa 2015 akawa ni John Pombe Magufuli, yaani I just happened

Nawaombeni sana tuchukulie kupitishwa kwa jina la Dr. John Pombe Magufuli, kuwa mgombea urais wa CCM, has just happened tuu na has nothing to do bandiko hili wala na sababu nilizotajiwa, bali kuhesabike tuu kuwa kumetokea tuu naturally, by chance, bila any pre meditated moves, na hili bandiko lichukuliwe tuu kama just a coincidence, kuwa mwana jf mmoja nilisema mgombea wa CCM kwa mwaka 2015 atakuwa ni John Pombe Magufuli na kweli ikatokea tuu coincidentally, mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015 kweli akawa ni Dr. John Pombe Magufuli.

Kwa mtakaonielewa asanteni kwa kunielewa, na kwa wale ambao ni wazito kuelewa mambo ya kufikirika tuu au ambao msio nielewa poleni na samahanini sana!.

Hongera sana Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi, CCM.

Paskali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom