Mgombea wa Urais anayeongoza kwenye kura za maoni achomwa kisu, Brazil

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Mgombea wa kiti cha Urais, Jair Bolsonaro, aliyekuwa akiongoza kwenye kura za maoni ajeruhiwa vibaya kwa kuchomwa kisu akiwa kwenye kampeni

Mwsanasiasa huyo alikimbizwa kwenye Hospitali ya Santa Casa de Misericórdia kwaajili ya matibabu baada ya kushambuliwa

Mgombea huyo alishomwa kisu kwenye tumbo lake ingawa alivaa kikinga risasi katika kifua chake

======

the far-right candidate who is leading the polls in Brazil’s presidential race, is in a serious condition but out of danger after being stabbed while campaigning just a month before the election.

Bolsonaro was rushed to the Santa Casa de Misericórdia hospital in the town of Juiz de Fora, about 125 miles (200km) north of Rio de Janeiro after being stabbed by a man who rushed up to him while he was being carried on the shoulders of a supporter through the crowd.

“The trajectory of the wound provoked various injuries. Mr Jair Bolsonaro arrived in a very serious condition at hospital with low pressure due to blood loss,” Glaucio Souza, one of the surgeons who operated on the candidate.

The knife wound went deep, cutting a vein in his abdomen and causing two other injuries in his intestines, said another surgeon Luiz Borsato, in a press conference broadcast on the hospital’s Facebook page.

“The patient is now in intensive care. It is naturally a serious state because of the magnitude of the trauma but he is stable,” Borsato said. The doctor said Bolsonaro was now conscious and had recognised his sons.

Bolsonaro’s son Flávio – himself a candidate for the Brazilian Senate - had initially described the wound as “only superficial”, but later said that the injuries were more serious, tweeting that the candidate arrived at the hospital “almost dead” after losing a lot of blood.

Borsato said Bolsonaro would be in hospital for at least a week or ten days.

“The surgery is very recent. It could take days, it could take weeks. We can’t know how we will evolve,” he said, adding that Bolsonaro had shown good progress in the first few hours.

Videos shared on social media showed the moment Bolsonaro was attacked as he was carried on the shoulders of supporters in Juiz de Fora.

Bolsonaro was waving to the crowd when he suddenly clutched his abdomen and cried out in pain before falling backwards into the arms of those around him. O Globo newspaper reported that he was wearing a bulletproof vest, but was wounded just below it.
 
Kuna waafrika kule zaidi ya million 40 huenda wamerithishana tabia
Uarabuni je?
Nchi za ulaya kina Urusi vituko wanavyo vifanya, uchina ndiyo usiseme!
Jamani TUTAMKIE MANENO YA KUJENGA KWA MWFRIKA NA MTU MWEUSI KWA UJUMLA!
Midomo ina umba walahi!
That’s all
 
Wale warangi rangi wa Brazil ni hatari sana hawana akili hata kidogo na huko gangsterism ipo juu mambo ya East coast na West Coast mambo ya kuuza Sumu imewaharibu sana Brazil maana wao ni wasambaji wakuu kwa Sumu inayotoka Peru,Bolivia, Colombia na Argentina...
 
Mwafrika kila nchi yupo ktk dunia hii
HAPO NDIPO PALIPO NA UBINAADAM WA KWELI,NGOZI INAYOWEZA KUPAMBANA NA KUKABILI AINA ZOTE ZA HALI YA HEWA BILA WASI WASI NGOZI ISIYOFANANISHWA.HAKUNA MKOROGO WA KUMFANYA MWEUPE KUWA MWEUSI ILA KUNA WA KUMFANYA MWEUSI KUWA MWEUPE.RANGI ISIYOCHAKACHUKA.
 
HAPO NDIPO PALIPO NA UBINAADAM WA KWELI,NGOZI INAYOWEZA KUPAMBANA NA KUKABILI AINA ZOTE ZA HALI YA HEWA BILA WASI WASI NGOZI ISIYOFANANISHWA.HAKUNA MKOROGO WA KUMFANYA MWEUPE KUWA MWEUSI ILA KUNA WA KUMFANYA MWEUSI KUWA MWEUPE.RANGI ISIYOCHAKACHUKA.


Hachakachukuliwi mtu mkuu, mwafrika analama yake aisee
 


Hachakachukuliwi mtu mkuu, mwafrika analama yake aisee
wakikasirika wanamwita nyani angali wamefanana na nguruwe,na ninachowapendea waafrika tulizaana na tunazaana.wameleta vimbinu vya kupunguza uzazi ila sisi tunazaana tu.wangeshatumaliza kama wahindi wekundu.
 
Tatizo siasa hazieleweki,ili uweze kupata nafasi na ukubalike katika jamii inabidi uweke wazi madhaifu ya mpnzania wako ili kumfanya awe dhaifu,yanaweza kuwa mazuri au mabaya;ndio maana mwisho wa siku wanajikuta wana maadui wengi.
 
Back
Top Bottom