Mgombea wa upinzani nchini DRC aliyeshika nafasi ya pili, Martin Fayulu amejitangaza kuwa Rais .

washakufa 34 adi sa ivi (wanaojulikana) baada ya uchaguzi na uyu phala amecall for protest, maana yake wafaji watazidi ongezeka yeye akila bata na mkewe wakijifungia ndani
Huyu phala atulie tu maji ya mesha zidi unga
 
Tabia hovyo ya kutoheshimu maamuzi ya wengi imeota mizizi EA na SADC. Afrika magharibi ECOWAS hawakubali upuuzi huu.In no uncertain term anambiwa son of nani tuliza akili kabidhi madaraka.
 
Funzo kwetu chadema juzi tulimshabikia felex!
Screenshot_2019-01-20-20-43-11-378_com.twitter.android.lite.jpg
 
Fayulu kama sijamwelewa, anajitangaza raising, wakati huo anaitisha maandamano!
 
Back
Top Bottom