Mgombea Wa Ukawa Arudisha Form ILALA Zungu jiandae

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,837
ImageUploadedByJamiiForums1434793634.095815.jpg Ni kamanda Muslim,Zungu ajiande kisaikolojia kukabidhi jimbo ukawa
 
Imekaa poa,nimeiona startv nikabaki kushangaa maana zamani watu wenye asili ya kihindi walikuwa wanaogopa kujiunga na vyama upinzani,sjui chadema wamemtoa wapi,kwakweli mwaka huu Ccm kazi wanayo!
 
mbna km muhind ivi...weken cv yake apa maana kule singida muhind dewj kawatelekeza waliompigia kura

Teh! Usihofu...Race ya mtu sio tatizo. Tatizo ni mfumo anaoutumikia. Hao akina Dewji wanatumikia mfumo mbovu. Ndio maana japokuwa wabunge wengi wa Chadema Elimu yao ni ndogo lakini wanafanya wonders kuliko maprofesa wa Ccm. Huyu yuko chini ya mfumo imara wa Ukawa. Atafanya vyema naamini!
 
Back
Top Bottom