Imekaa poa,nimeiona startv nikabaki kushangaa maana zamani watu wenye asili ya kihindi walikuwa wanaogopa kujiunga na vyama upinzani,sjui chadema wamemtoa wapi,kwakweli mwaka huu Ccm kazi wanayo!
Teh! Usihofu...Race ya mtu sio tatizo. Tatizo ni mfumo anaoutumikia. Hao akina Dewji wanatumikia mfumo mbovu. Ndio maana japokuwa wabunge wengi wa Chadema Elimu yao ni ndogo lakini wanafanya wonders kuliko maprofesa wa Ccm. Huyu yuko chini ya mfumo imara wa Ukawa. Atafanya vyema naamini!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.