Mgombea wa Uholanzi aahidi kufunga misikiti na kuwazuia Waislamu

Status
Not open for further replies.
Kuna misikiti inafundisha watoto mambo ya ajabu kabisa pamoja na ngumi waislam badilikeni

Kwanza kabisa tunakukarisha msikitini ututemmbelee halafu uje hapa uhadithie ni jambo lipi la ajabu ulilolikuta linafundishwa hapo.

Sijaona ngumi zikifundishwa sikitim huo si ukweli. Tueleze msikiti upi unafumdisha ngumi?

Isitoshe, juu huko nimeelezea kuwa binafsi nilijifunza karate YWCA Dar. Unajuwa YWCA iko wapi na nini?

Halafu, jisomee uone watu wamejifundisha nini YMCA: Tanzania karate SKIF: SKIF Tanzania Chief Instructor

Utakuta hapo waatu wanajifundisha "Shotokan Dojo". Kaa haulewi hicho ni nini nnakuoba u google. Maana mtu anaeijuwa hiyo shotokan doja, ni hatari kuliko silaha yoyote uijuayo, anaweza kufanya maangamizi.

Na hii pitia: http://allafrica.com/stories/201312180033.html

Nnakusihi soa hayo, halafu soma hii kuhusu shule ya Kikristo iliyopo kanisani, inayofundishwa na Waalimu mapadri uone wamefundisha nini: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile

Ukipitia hiyo link ya mwisho utaona kuwa shule hiyo imefundisha wanafunzi kulawitiana na walimu wao, shule nzima, kumbuka na hao walimu ni ma "Father".

Sasa kuna ajabu inayofundishwa msikitini zaidi ya hiyo ya kanisani?

Kuwa mkweli wa nafsi na usihemkwe tu.
 
uislam ulianza kupingwa toka enz za mitume ndugu na umetufikia sisi wabongo sio kaz ndogo kuutokomeza
uislam sio din ilioanzwa na mtu kwa maslah fulan km mnavyofanya nyny wagalatia ili kupata pesa angalia kila mtu anaanzsha kanisa ili kupata pesa mpaka makanisa ya kufungisha ndoa za mashoga yapo ..jaribu kushirikisha ubongo kidogo sio kutema ulichomezeshwa na makafir
Ukristo pia ulianza kupingwa toka enzi za mitume. Kina stefano waliuawa, kina yohana walichinjwa etc

Kama logic yako ni hio maana yake hata ukristo hautakufa.

I dont see your point on this!
 
Wapi ulitengwa na Waislam?
Sio wapi tu...hapa hapa bongo nilishajaribu kwenda MUM kucheck nafasi moja ya masomo ya cheti wakachomoa kisa dini.....na am sure kwa walichoongea pale sidhani kama kuna mkristo anasoma pale au kufanya kazi, lakini kwenye school za wakristo nyie mmejaza watoto wenu.

Zanzibar nyie mkiwa mmefunga mnataka nchi nzima washinde njaa lakini wakristo ukifika muda wa kufunga nyie hamtaki kuingiliwa pia.

Waacheni waholanzi wajiachie
 
Hawa wakija kushtuka uislam utakuwa ushaenea dunia nzima.Hii vita hakuna anayeweza Allah analinda dini yake.
Point kama hizi ndio zinafanya muonekane wa ajabu. Kila dini duniani lazima ipate uungwaji mkono. Leo hio ATHEISM inakua kwa kasi kuliko Maelezo. Je hio nayo ni dini ya Allah/Mungu?

Unaweza ukaliongeleaje ilo. Faith is blind hata kibwetere alipata waumini wengi tu.....
 
Sio kweli chuki zako zinakuaminisha mambo yasiyo kweli.kwanza uislam haulazimishi mtu isipokuwa arizike mwenyewe
Sasa mbona mnaeneza dini kwa upanga......kumbuka issue ya stargate siege kenya hapo, magaidi wa kiislamu waliwatenga waislam wakawatoa nje then wasio waislam wakapigwa risasi wote
 
Hilo la kuzuia watu wote magaidi ni kweli lakn sasa tatizo hawa waislam ndio wanaongoza kwa kuua watu wasio na hatia kwa kujitoa mhanga mfno wastage pale Kenya walio vamia ni alshababi wale wote waislam waliua watu wasio na hatia

Hapo sipaelewi mimi nnaelewa tukio la West Gate pale Nairobi, na sijaona Muislam aliyeshikwa kwa tukio hilo hadi leo hii, nnasikia porojo tu, wewe uliona Muislam aliyeshikwa pale?

Kinyume chake, nimeona shujaa aliyeokoa watu wengi sana alikuwa ni Muislam, huyu hapa:

aAgQavN.jpg

Hapo shujaa wa Kiislam akijitolea uhai wake kuokoa mtoto wa kizungu.

NAIROBI-POLICE_2684617c.jpg

Hapo yupo kwenye kusaka wahalifu ndani ya west gate.

article-2434491-1827D82400000578-876_634x754.jpg

Hapo akiuokoa mama na wnawe ambao kwa tazamo tu si Waislam.

Ndugu yangu, kuwa mkweli wa nafsi yako, si unafikiria tu uongo unakuja nao kwa sababu tu ulishajazwa ujinga wa kuchukia Uislam bila sababu yoyote ile ya msingi.

Sasa soma aibu hii wakati Muislam anajitolea maisha yake kuokoa binadam wenzake, hawa nnauhakika si Waislam wanaiba: Kenyan army admits that soldiers looted Westgate mall during siege
 
Sio wapi tu...hapa hapa bongo nilishajaribu kwenda MUM kucheck nafasi moja ya masomo ya cheti wakachomoa kisa dini.....na am sure kwa walichoongea pale sidhani kama kuna mkristo anasoma pale au kufanya kazi, lakini kwenye school za wakristo nyie mmejaza watoto wenu.

Zanzibar nyie mkiwa mmefunga mnataka nchi nzima washinde njaa lakini wakristo ukifika muda wa kufunga nyie hamtaki kuingiliwa pia.

Waacheni waholanzi wajiachie

Si ukweli huo.

MUM wana admit yeyote anae qualify, sea huja qualify tu. Na hivyo unavyoonesha chuki za dhahiri kwa Waislam sidhani hata kaa gate la MU unaweza kulisogelea. Kadanganye wajinga wenzio, hakuna Muislam mbaguzi, kwanza Uislam unatutaka tuwakaribishe tuwaenzi ili muujuwe Uislamna hospitality yake, kwa hiyo porojo zako hizo za MUM hazina ukweli.

Kuhusu kujaza watoto zetu skuli za Wakristo hilo ndilo mlitakalo. Mnataka kila Muislam aende huko na ikiwezekana hata abadili jina kabisa. Haikuanza leo hiyo.

FEZA unaijuwa, majina mangapi si ya Kiislam tunayaona yakifaulu pale. Au ulikuwa haujuwi kuwa feza ni shule ya Waislam?
 
Kwanini husiongelee kinondoni muslim, hijra secondary, ukakimbilia feza.......au hauzioni shule za bakwata, au unavyodhani feza ni shule ya bakwata nini.......punguza jazba najua wewe ni mfia dini lakini ukweli utabaki pale pale ulaya hamtakiwi na america hamtakiwi.....good thing ni kwamba hata wenyewe mmeanza kutengana ndio maana kuwait imeanza kujibagua.
 
Kwanza nna ashaka sana uelewa wako, aana unavyoandika unaonesha hauna kabisa elimu.

Nenda shule ya bakwata halafu utueleze hapa kama utakataliwa, labda uwe hukidhi mahitaji yao tu.

Huo ni ujina wa kitoto kuja kuzuwa humu.

Mie mfia dini, wewe mfia nini? Maasi?

Amerika ipi unaongelea? Kama ni USA basi huko Uislam unakuwa kwa kasi kuliko dini yoyote ile, jisomee:

Islam is the fastest growing religion in the United States and throughout the world, as of 2015. Seven million Muslims live in America, half of which were born in the United States, with 1.6 billion Muslims throughout the world.
What is the fastest growing religion in America? | Reference.com

Unaonesha unachuki za kijina na Uislam. Nnakushauri soma kijana, futa ujinga na usisomee ujinga.

Hivi Uislam umekukosa nini? Umewahi kuusoma Uislam?
 
Si kweli mkuu. Hujawahi kuishi huko af uwe mkristo. Utajuta.

My take!
Dini zote ziheshimiane. Mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Mungu pekee.
Wewe ndio hujafika,na kama hujafika tena uwanja wa ndege,uone abiria wanaoshika katika ndenge zinazotoka nchi za kiarabu,wengi ni wa dini gani?Ndio utaelewa kama wakristo wako wengi,nchi za kiarabu.
 
Hapo sipaelewi mimi nnaelewa tukio la West Gate pale Nairobi, na sijaona Muislam aliyeshikwa kwa tukio hilo hadi leo hii, nnasikia porojo tu, wewe uliona Muislam aliyeshikwa pale?

Kinyume chake, nimeona shujaa aliyeokoa watu wengi sana alikuwa ni Muislam, huyu hapa:

aAgQavN.jpg

Hapo shujaa wa Kiislam akijitolea uhai wake kuokoa mtoto wa kizungu.

NAIROBI-POLICE_2684617c.jpg

Hapo yupo kwenye kusaka wahalifu ndani ya west gate.

article-2434491-1827D82400000578-876_634x754.jpg

Hapo akiuokoa mama na wnawe ambao kwa tazamo tu si Waislam.

Ndugu yangu, kuwa mkweli wa nafsi yako, si unafikiria tu uongo unakuja nao kwa sababu tu ulishajazwa ujinga wa kuchukia Uislam bila sababu yoyote ile ya msingi.

Sasa soma aibu hii wakati Muislam anajitolea maisha yake kuokoa binadam wenzake, hawa nnauhakika si Waislam wanaiba: Kenyan army admits that soldiers looted Westgate mall during siege
Huwa nashangaa watu mnavokamalia mijadala kama hio. Mnaleta sources miiingi kiajabu. Imagine huyo ni soldier anatekeleza majukumu yake, wewe wataka kujustfy hoja yako kupitia yeye. Too low!
 
Kwanini husiongelee kinondoni muslim, hijra secondary, ukakimbilia feza.......au hauzioni shule za bakwata, au unavyodhani feza ni shule ya bakwata nini.......punguza jazba najua wewe ni mfia dini lakini ukweli utabaki pale pale ulaya hamtakiwi na america hamtakiwi.....good thing ni kwamba hata wenyewe mmeanza kutengana ndio maana kuwait imeanza kujibagua.

nyinyi ndio mnatakiwa ; HIVI NDIVYO ANAVYOWATAKA MUDHUNGU ????

TENA NCHINI KWENU

Kiukweli kwa dhati kbs ndani ya nyoyo zetu tunamfurahia kiongozi wa aina ya Trump,Putin na wote wasioupenda uislam duniani,na sababu kubwa ni very simple UISLAM NDIO DINI PEKEE DUNIANI ILIOPOTEZA MAISHA YA WATU WENGI KULIKO ZOTE NA KULETA MAAFA MENGI SANA HIVYO BASI NI JAMBO JEMA IKIDHIBITIWA NA KUTOWEKA KBS KTK HUU USO WA HII DUNIA
hiyo ndoto unayoota aliiota firauni aliekua na majeshi yenye nguvu kuliko jeshi lolote lililowah kutokea ktk sayar hii ya dunia lakin angalia kilichotokea kwake,kama wwe ni mvivu wa kusoma au ni umbumbumbu unaokusumbua au chuki basi utafeli kama walivyofeli wakubwa zako
 
Naam na waangamie na ndiyo dhamira ya kila Muislam, kuangamiza ugaidi duniani.
Waislamu wote wangekuwa na mawazo mazuri kama ya kwako kusingekuwa na ugaidi dunia, inabidi utumie muda wako kuwaelimisha ili waache kuu support ugaidi na kuufadhili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom