Mgombea wa TLP ananafasi kubwa ya kumshinda Komu Ubunge wa Africa Mashariki

tatizo komu ajulikani cv haijulikani apa tunacho angalia ni sifa za mgombea si chama iv CDM hawakuona mtu mwingine isipokua komu uwezi kumfananisha na Taslima wa CUf mwanasheria nguri hapa Tz je unamfananisha na komu Dr mlindoko nae yupo ju sa tatizo si ccm tatizo lipo kwenu CDM kushindwa kumchagua mtu mwenye mvuto
 
Back
Top Bottom