Zanzibar 2020 Mgombea wa Chama Makini na Africa Democratic Alliance wakana kuwawekea pingamizi wagombea ubunge wa ACT Wazalendo

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,955
48,751

IMG_20200828_140614.jpg
IMG_20200828_140607.jpg
 
halafu unakuta wale wajisiriadini (wanajiita maaskofu na mashehe) wanakaa nao mezani na kunywa nao mvinyo pamoja huku wakilitamka jina la "mungu".

huyo "mungu" wanayemwabudu lazima atakuwa ni yule wa ndumba!
 
Kwa ushahidi huu ni aibu.Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka huu ukavunja rekodi kwa kuharibiwa kwa makusudi tu.
 
Chama kimeshakufa kwa sababu chama kilicho hai na kijacho jiamini hakiwezi fanya upuuzi kama huu. Wanajigamba kuleta maendeleo ila wanaogopa kwenda kwenye uchaguzi huru washenzi kweli hawa.
 
halafu unakuta wale wajisiriadini (wanajiita maaskofu na mashehe) wanakaa nao mezani na kunywa nao mvinyo pamoja huku wakilitamka jina la "mungu".

huyo "mungu" wanayemwabudu lazima atakuwa ni yule wa ndumba!
Kumejaa mawakala wa shetani tupu
 
halafu unakuta wale wajisiriadini (wanajiita maaskofu na mashehe) wanakaa nao mezani na kunywa nao mvinyo pamoja huku wakilitamka jina la "mungu".

huyo "mungu" wanayemwabudu lazima atakuwa ni yule wa ndumba!
Maaskofu wanapaswa kumuomba radhi JK
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom