Mgombea wa CHADEMA Igunga hali mbaya..

mpenda pombe

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
1,376
672
Nimepitia gazeti la TAZAMA Tanzania la leo sept 20.. Kwenye ukurasa wa mbele nimekuta wameandika hivo..
Nanukuu paragraph hii..
"Habari zilizopatikana kutoka maeneo mbalimbali zinasema kuwa mgombea huyo hv sasa anajutia uamuzi wake wa kuacha ajira yake serikalini na kujitosa ktk mbio hizo huku akitarajia kushinda, lakini upepo umeonyesha kwamba kamwe hawezi hata kumkaribia kwa kura Dr Kafumu." mwisho wa kunukuu..
Je mliopo Igunga ni yakweli hayo?
Hili gazeti pia linamilikiwa na nani?

Hivi habarinikihusu cdm tu basi hakuna habari hapo? tuache ushabiki yawezekana ni kweli bwana

gazeti hili linamilikiwa na riz1 wakishea na lau masha. Full craaap magazet ya kuchambia hayo.

Hili gazeti mhariri ni chales charles, ni gazeti lenye uswahiba na ccm na linapata ruzuku ya uvccm so kuandika hivi si jambo la ajabu na kwa taarifa, mgombea wa cdm hajaacha kazi kama ilivyo kwa dr kafumu, walichofanya ni kuomba likizo bila malipo

Matokeo ya igunga 1. Leopold mahona cuf 18,352, 2. Kafumu ccm 15,629 3. Joseph kashindye cdm 8,746.

Nimepitia gazeti la TAZAMA Tanzania la leo sept 20.. Kwenye ukurasa wa mbele nimekuta wameandika hivo..
Nanukuu paragraph hii..
"Habari zilizopatikana kutoka maeneo mbalimbali zinasema kuwa mgombea huyo hv sasa anajutia uamuzi wake wa kuacha ajira yake serikalini na kujitosa ktk mbio hizo huku akitarajia kushinda, lakini upepo umeonyesha kwamba kamwe hawezi hata kumkaribia kwa kura Dr Kafumu." mwisho wa kunukuu..
Je mliopo Igunga ni yakweli hayo?
Hili gazeti pia linamilikiwa na nani?
Kuwa kama mbayuwayu.... usiwe kama kondoo mimacho chini chini.

Nimepitia gazeti la TAZAMA Tanzania la leo sept 20.. Kwenye ukurasa wa mbele nimekuta wameandika hivo..

Nanukuu paragraph hii..

"Habari zilizopatikana kutoka maeneo mbalimbali zinasema kuwa mgombea huyo hv sasa anajutia uamuzi wake wa kuacha ajira yake serikalini na kujitosa ktk mbio hizo huku akitarajia kushinda, lakini upepo umeonyesha kwamba kamwe hawezi hata kumkaribia kwa kura Dr Kafumu." mwisho wa kunukuu..

Je mliopo Igunga ni yakweli hayo?

Hili gazeti pia linamilikiwa na nani?

siasa nikujiandaa.
kama amenza kukata tamaa na kurudi kazini, basi hatufai katiak harakati za kudai democrasia, atakuwa mzigo.
nasema kama ni kweli

Back
Top Bottom