Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Maana walimtuma yahaya akaseme uchaguzi mwaka huu utaahirishwa kwa kifo cha mmoja wa wagombea.
Alianza kwa kuumwa tumbo kama wiki 2 zilizopita na alikuwa akipata matibabu hospitali moja pale magomeni kabla ya kuzidiwa na kupelekwa Tumaini Hospital.
Probably they have given him a slow killing poison like Balali
Mbona hiyo inajulikana mkuu toka zamaniSheikh Yahya ni FREEMASON, Gazeti la leo la Udaku limeandika.
Wana wa nchi.....Kuna kila dalili kuwa utabiri aliotoa sheikh yahya juzi ni mkakati wa TISS ..kuwaandaa watu kisaikologia ...iwapo itaonekana wazi kwa viashirio kuwa mgombea wa CCM Jakaya Kikwete atashindwa uchaguzi..........basi mgombea wa UPDP ambaye ni mgonjwa kwa sasa na amelazwa TUMAINI hospital ...watamalizana naye ....na kupelekea uchaguzi kusogezwa mbele kwa mwezi mmoja kama mwaka 2005..
Itakumbukwa kuwa mwaka 2005 kusogezwa mbele kwa uchaguzi kulisababisha kura za wapinzani kupungua na hata viti vya ubunge kwani wabunge wengi wa upinzani na wagombea urais hawakuwa na pesa ya kuendelea kufanya kampeni ...na CCM ..wakitumia PESA za EPA waliwahawia wagombea wao ubunge pesa ....na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kukata makali ya wagombea wa upinzani na hata kufaniikiwa kuupunguza idadi ya wabunge wapinzani...
Taahadhari hii nimeitoa ili kuwataka watu wapaaaze sauti kuhakikisha usalama wa mgombea wa UPDP Fahmi Devutwa na afya yake kwa ujumla inaangaliwa kwa makini ....na ikiwezekana apelekwa nje haraka kwa matibabu na uangalizi wake uwe chini ya chombo huru ........ili yale ya JUMBE yasije yakatokea.......
ccm wanajiandaa kuchinjia mtu baharini hali ikizidi kuwa mbaya ...na ikitokea hivyo uchaguzi ukasogezwa ...wapinzani watashindwa vibaya sana...na hata bungeni kutapwaya...FUNGUENI MACHO NA MASIKIO ...PAZENI SAUTI..THIS ISSUE IS SERIOUS!!
SAA YA UKOMBOZI NI SASA!
Yote hii kwa ajili ya madaraka tu!! Kama naota vile!!!Wana wa nchi.....Kuna kila dalili kuwa utabiri aliotoa sheikh yahya juzi ni mkakati wa TISS ..kuwaandaa watu kisaikologia ...iwapo itaonekana wazi kwa viashirio kuwa mgombea wa CCM Jakaya Kikwete atashindwa uchaguzi..........basi mgombea wa UPDP ambaye ni mgonjwa kwa sasa na amelazwa TUMAINI hospital ...watamalizana naye ....na kupelekea uchaguzi kusogezwa mbele kwa mwezi mmoja kama mwaka 2005..
Itakumbukwa kuwa mwaka 2005 kusogezwa mbele kwa uchaguzi kulisababisha kura za wapinzani kupungua na hata viti vya ubunge kwani wabunge wengi wa upinzani na wagombea urais hawakuwa na pesa ya kuendelea kufanya kampeni ...na CCM ..wakitumia PESA za EPA waliwahawia wagombea wao ubunge pesa ....na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kukata makali ya wagombea wa upinzani na hata kufaniikiwa kuupunguza idadi ya wabunge wapinzani...
Taahadhari hii nimeitoa ili kuwataka watu wapaaaze sauti kuhakikisha usalama wa mgombea wa UPDP Fahmi Devutwa na afya yake kwa ujumla inaangaliwa kwa makini ....na ikiwezekana apelekwa nje haraka kwa matibabu na uangalizi wake uwe chini ya chombo huru ........ili yale ya JUMBE yasije yakatokea.......
ccm wanajiandaa kuchinjia mtu baharini hali ikizidi kuwa mbaya ...na ikitokea hivyo uchaguzi ukasogezwa ...wapinzani watashindwa vibaya sana...na hata bungeni kutapwaya...FUNGUENI MACHO NA MASIKIO ...PAZENI SAUTI..THIS ISSUE IS SERIOUS!!
SAA YA UKOMBOZI NI SASA!
ni kweli mazee.Yote hii kwa ajili ya madaraka tu!! Kama naota vile!!!
ahsante mkuu nilishaogopa kwa sababu hawa mafisadi wako tayari hata watz wote wafe ili mradi wao wabaki madarakani.sijui watamtawala nani?
tungekuwa na jeshi lenye makamanda wenye maono na uchungu wa taifa letu na watu wake, dawa ni mapinduzi ya kijeshi, kuwauwa mafisadi wote, na kufuta vyama vyote vya siasa ili tuanze upya siasa kwenye level ground. Eeh mwenyezi mungu kwa nini usimtoe roho jk nchi ikapumua?
sasa nimejua ni kwanini shehena kubwa ya vifaa vya uchaguzi kwa ajili ya ccm ndiyo kwanza vimeingia jana. Kumbe wanajua kwamba uchaguzi utasogezwa kwahiyo watahitaji zaidi hizo tshirt, khanga na kofia?! Hii ndiyo tanzania zaidi ya tuijuavyo.