Elections 2015 Mgombea urais wa CCM, John Magufuli ni batili

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,008
2,429
CCM ina matatizo mawili ambayo yanaondoa umoja. La kwanza ni defection ya Lowassa.

Tatizo la pili ni pale Kamati ya Usalama ilipowachagua watu watano wakapigiwe kura na Mkutano Mkuu,na Rais Kikwete akayapokea yale majina na kuyaweka kapuni na kutoa listi yake mpya mfukoni.

Na labda wapo wengine CCM ambao hawakubaliani na vyote,uteuzi wa Kamati ya Usalama na uteuzi wa Kikwete.
 
Andrew Nyerere;

Hauna namba ya simu ya makongolo.?
Fanya kumpigia umueleze.
Sie tushaamua kura kwa Edo.
 
Last edited by a moderator:
Nyerere unazalilisha jina nyerere ,maana unapotunia jina hili na kufanya siasa za maji taka basi wewe ni wale wa kununuliwa tu,nakukumbusha ebu twmbie mgombea wa ukawa alipatikana kwa utaratibu upi?
ukijibu hilo b=ndo uje kulema kelele za sijui usalama kumpendeleza rais wa ccm,

Hivi hizo kura za kumpa ushindi lowasa zinatoka wapi? Arusha kuna minong'ono kuwa alikuwa ana mpango wa kuwafukuza wachaga ARUSHA mjini. Msiione wanamchekea wanamtumia kuongeza ruzuku na wabunge, kwenye urais asahau.
 
CCM ina matatizo zaidi ya mawili.

Mosi tatizo la ajira hasa vijana wengi wamekata tamaa wanajua pasipo shaka yoyote aliyesababisha tatizo lao ni CCM.

Pili huduma mbovu za afya hasa wazee,mama na mtoto hawana uhakika wa huduma bora,madawa na vifaa tiba.Tumeshuhudia kina mama watatu hadi wanne wakilala kitanda kimoja kabla ya kujifungua na baada ya kujifungua.

Tatu ahadi za uongo zimekuwa nyingi sana kiasi wananchi wemechoka kudanganywa.

Nne CCM imejaa kibri,imekuwa ikitumia majory mjengoni kupitisha mambo ya hovyo bahati mbaya luninga zinaonyesha madudu yote.

Tano Watanzania walitoa maoni kuhusu katiba ya nchi mambo yote ya msingi yameondolewa na wabunge/wajumbe wa CCM.

Sita CCM imeharibu uchumi wa nchi,deni la taifa limekuwa kubwa mno,mfumuko wa bei umekuwa wa kutisha,thamani ya fedha yetu imeshuka kupita kiasi.

Saba viwanda vingi vilivyojengwa enzi za utawala wa Mwl Nyerere vimekufa au vimeuliwa maksudi na serekali ya CCM matokeo yake ni kusababisha ukosefu mkubwa wa ajira.

CCM ina matatizo mawili ambayo yanaondoa umoja. La kwanza ni defection ya Lowassa. Tatizo la pili ni pale Kamati ya Usalama ilipowachagua watu watano wakapigiwe kura na Mkutano Mkuu,na Rais Kikwete akayapokea yale majina na kuyaweka kapuni na kutoa listi ya ke mpya mfukoni. Na labda wapo wengine CCM ambao hawakubaliani na vyote,uteuzi wa Kamati ya Usalama na uteuzi wa Kikwete.

Kwahiyo Makongoro alipoongea jangwani akisema anawakilisha familia ya Nyerere hakuwa sahihi❔❗
 
hilo tunalitambua ndio maana tunamuunga mkono lowassa, huyo wa ccm akafie mbele

unapoteza muda ukiona jambo limeamuliwa na idara za usalama jua wanajua nani anafaa kuongoza nchi huyo lowasa anayejigeuza suala kama kinyonga malizieni ajira zenu humu na zimebaki siku 51 adi leo ,
kamwe genge la majazi halitaingia ikulu,
 
CCM ina matatizo zaidi ya mawili.

Mosi tatizo la ajira hasa vijana wengi wamekata tamaa wanajua pasipo shaka yoyote aliyesababisha tatizo lao ni CCM.

Pili huduma mbovu za afya hasa wazee,mama na mtoto hawana uhakika wa huduma bora,madawa na vifaa tiba.Tumeshuhudia kina mama watatu hadi wanne wakilala kitanda kimoja kabla ya kujifungua na baada ya kujifungua.

Tatu ahadi za uongo zimekuwa nyingi sana kiasi wananchi wemechoka kudanganywa.

Nne CCM imejaa kibri,imekuwa ikitumia majory mjengoni kupitisha mambo ya hovyo bahati mbaya luninga zinaonyesha madudu yote.

Tano Watanzania walitoa maoni kuhusu katiba ya nchi mambo yote ya msingi yameondolewa na wabunge/wajumbe wa CCM.

Sita CCM imeharibu uchumi wa nchi,deni la taifa limekuwa kubwa mno,mfumuko wa bei umekuwa wa kutisha,thamani ya fedha yetu imeshuka kupita kiasi.

Saba viwanda vingi vilivyojengwa enzi za utawala wa Mwl Nyerere vimekufa au vimeuliwa maksudi na serekali ya CCM matokeo yake ni kusababisha ukosefu mkubwa wa ajira.

CCM na Slaa wanataka kututoa kwenye dira ya mabadiliko kwa kutusahulisha na Richmond ya mwaka 2008 ili hali Mwaka jana 2015 tulikuwa na sekeseke la Katiba mpya na Escrow!!
 
Kwa hoja yako,atakosa kura ndani ya CCM kwa sababu ni batili
 
Nyerere unazalilisha jina nyerere ,maana unapotunia jina hili na kufanya siasa za maji taka basi wewe ni wale wa kununuliwa tu,nakukumbusha ebu twmbie mgombea wa ukawa alipatikana kwa utaratibu upi?
ukijibu hilo b=ndo uje kulema kelele za sijui usalama kumpendeleza rais wa ccm,
Jirudishie ufahamu kidogo.
Alichoandika ndicho kile kile alichosema Nchimbi, Kimbisa na Sofia Simba.
Ndicho kilekile alichosema Mzee Kingunge
Ndicho kilekile alichosema EL
Ndicho Msindai alichosema
Ndicho kilekile alichosema Prof. Mwandosya!
Kuhusu mgombea wa UKAWA, two wrongs do not make one right. Ukisisitiza hivyo basi tusema who did it wrong first!?

UKAWA watupe hadi ya muungano wao iwapo wataunda serikali wamekipangaje kugawana nafasi za uteuzi? Hii itasaidia wasije gombana mbele ya safari wakatuingiza kwenye shida ya sudan kusini ambako rais na makamu wake wanagombea madaraka.
 
agh..
mimi anaechoma nyavu za mafukara wakati wakubwa wanakula BOT kwa fujo,inaniuma..
kuvunja nyumba za mafukara bila fidia wakati waliruhusiwa na serikali kujenga,wakati huohuo nchi kama ushelisheli masikini wanajengewa nyumba na serikali,inanipa mawazo..
kuwavunjia sheli wazalendo wanaotoa ajira kwa maskini,wakati sheli zipo kihalali,ni kuongeza idadi ya wanywa viroba..
agh kutumia ubabe kunyanyasa wakandarasi tukalipa fidia trilioni naona nalo linauma zaidi..
Lowasa njoo..
uwatetee mashekhe..
babu sea na wanawe..
wanywa viroba..
wahanga wa tokomeza..
waliokopwa mahindi...
wajane waliopoteza waume zao january 27 2001..
familia ya mwangosi..
uyatetee mabilioni ya mchakato wa katiba mpya..
bila kumsahau kumleta balali wetu..miss him sana sana.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom