Mgombea urais lazima awe na shahada/degree ya chuo kikuu

ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,961
1,225
NINAPOISOMA RASIMU HII YA KATIBA HASA KIPENGELE HIKI CHA SIFA ZA MGOMBEA URAISI NDIPO NINAPOONA KUWA CHADEMA HADI SASA HAINA MGOMBEA MWENYE SIFA:-

Sifa za
Rais.
79.-(1) Mtu atakuwa na sifa ya kuchaguliwa kushika nafasi ya madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano ikiwa:
(a) ni raia wa kuzaliwa wa Jamhuri ya Muungano kwa mujibu wa Katiba hii na sheria za nchi;
(b) ni mwenye akili timamu;
(c) wazazi wake wote wawili ni raia wa kuzaliwa wa Jamhuri ya Muungano;
(d) wakati wa kugombea, ana umri usiopungua miaka arobaini;
(e) anayo shahada ya chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa kwa mujibu wa sheria za nchi;
(f) ni mwanachama na mgombea aliyependekezwa na chama cha siasa au mgombea huru;
(g) sera zake au sera za chama chake si za mrengo wa kuligawa Taifa kwa misingi ya ukabila, dini, rangi au jinsi; na
(h) ni mwadilifu, anayeheshimu haki za binadamu, asiyedharau wala kubagua watu kwa misingi ya kabila, dini, jinsi, maumbile au hali zao katika jamii na anafuata maadili ya viongozi na mwenendo wake hautiliwi shaka na jamii.

KATIKA KIPENGE HICHO NITACHUKUA HAPO SUB TITLE CHACHE
(g) sera zake au sera za chama chake si za mrengo wa kuligawa Taifa kwa misingi ya ukabila, dini, rangi au jinsi;
HUU NDIO MSUMARI WENU WA KICHWA HILI LA UKABILA NA UDINI SINA HAJA YA KULIFAFANUA SANA UKICHUKA IDADI YA WACHAGA PLUS IDADI YA WACHUNGAJI UKAGAWANYA NA IDADI YA MASHEKHE NA MAKABILA MENGINE JIBU UTAKUWA NALO

HUYO MGOMBEA WENU KIBABU ANA SIFA GANI YA UADILIFU? UKIANZIA KANISANI HADI KWENYE NDOA MAJIBU UNAYO.

JIPANGENI
 
Danisamweswa

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
453
195

Ama kweli nilikuwa nakuheshimu sana kuwa unaweza kuwaza vizuri kumbe nawe kaburu tu! kaburu tu! Wachagga na Wachungaji unaona ndio wanachama wa CHADEMA nadhani unapaswa kuomba makundi hayo radhi. Pili udilifu wako wewe mwenyewe nautilia shaka sana kwani tayari umeonyesha kuwa wewe ni kaburu! mbaguzi mkubwa! shame on you
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
Nchi inabakwa sana na wasomi, mgombea urais awe mtanzania, full stop, wasomi mmebaka kila kitu hadi keki ya taifa, Je mmefanya mimi kwa taifa, ni nini tumepata kutokana na usomi wenu??? mmegundua nini kwa manufaa ya wananchi??? baada ya kuwalipia shule zenu sasa mnaiba hadi tunakosa kila kitu nyinyi mkimega raha na familia zenu, huu nao ni USALITI ambao siupendi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom