Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

Safi sana Mr President
Piga kazi kwa vitendo
Acha wanaopiga kazi majukwaani na matusi
 
Huyo kwenye daladala ni Lowassa original au fake! Mbona aliokaa nao karibu wanaelekea kutomjali au kumuangalia!
 
unaaambiwa hili linaitwa pigo takatifu surprise attack hawajaamini kama Rais wetu atakuja na kampeni za kiulaya-ulaya just keep close to your voterssssssssssssssssssssssss tisha sana raisssssssssssssssssss

Heee Kampeni Za Ulaya Ulaya Wagombea Wanapanda Daladala,ulaya Ipi Hyo Ndgu?Watu Wanasimama Jukwaan Watangaza Sera,wew Kwenye Daladala Utamaliza Watu Wangap?
 
unaaambiwa hili linaitwa pigo takatifu surprise attack hawajaamini kama Rais wetu atakuja na kampeni za kiulaya-ulaya just keep close to your voterssssssssssssssssssssssss tisha sana raisssssssssssssssssss

Yaani ni ATTACK ya ghaflaaaaaaaaa...

CCM eti wanaji mwaya mwaya... wapumbavu kweli...

Rais wetu ndio huyu sasa...Lowassa
ndio Rais...watake wasitake...!!!

Huyu ndio Kiongozi wa kweli...

Yaani CCM leo wanachanganyikiwaaaaaaaaaaa... sbb hapo wakisema kitu, au kumtukana watakuwa wanawatukana wananchi... ndio hapo kama jana mkapa alivyotukana wananchi...

Lowassa daaaahh... very genius...✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌👏👏👏👏
 
Lowassa bana. Anataka kuwaambia CCM kuwa yeye bila hata wasanii popote atakapokanyaga mguu lazima yatatokea Mafuriko
 
Siasa bila unafiki haiendi,kaona jana magufuli kafunika Leo kajidai kupanda daladala apate coverage ya magazeti,huyu si alikuwa waziri mkuu,aliwahi kupanda daladala?wajinga ndio waliwao.
 
Wazo la siku kuhusu Edward Lowassa Vs John Pombe Magufuli

What is a politician?

Is he or she someone who has the natural touch with people, someone who can get people to go along with them? Or is it a person who will say anything to "get along?" Someone who will hide their beliefs, their strongest commitments, in order to get people to like them?
Now, think about who meets that first definition. The person who can get other people to go along with them because he's so good with people they find themselves liking what he or she says.

Now, think of that second definition: a politician being someone who will say anything, admit nothing about their beliefs in order to get people to accept them, who doesn't want to lead voters, just get by them?

I think this is the reason why he's having so much trouble getting anyone excited about him. He doesn't like this thing, this campaigning, this asking people to vote for him. He wants to be back in the boardroom where he can talk the way he normally talks - about having a couple of Cadillacs, about liking being able to fire people who don't deliver for him, where he can rib somebody for wearing some cheap raincoat when he's sporting something just right................
.......................................Read more
Source: What is a politician? | MSNBC
 
Mh Lowasa leo Asubuhi ameanza safari ya maigizo kwa kuibuka kwenye daladala kwa madai kuwa ana kwenda kuangalia kero za wananchi....! Kitendo chake kimesababisha usumbufu mkubwa kwa abiria..
Baadhi ya wakazi wa gongo la mboto walisikika wakisema watachelewa makazini kwa sababu ya watu na uchu wa ikulu.
Wengine walikwenda mbali zaidi kutaka serikali kuzuia wana siasa kuzunguka na kumtaka kamanda wa polisi kutoa tamko ili wananchi wasiendelee kupata usumbufu usio wa lazima tena asubuhi.

[ATT ACH]279761[/ATTACH]View attachment 279762View attachment 279763

Kila mtu anaruhusiwa kuigiza mbona haikatazwi. Polisi wamakamate kwani siyo raia au haruhusiwi kupanda vyombo vya umma we tukuelewe vipi ?
 
Mh Lowasa leo Asubuhi ameanza safari ya maigizo kwa kuibuka kwenye daladala kwa madai kuwa ana kwenda kuangalia kero za wananchi....! Kitendo chake kimesababisha usumbufu mkubwa kwa abiria..
Baadhi ya wakazi wa gongo la mboto walisikika wakisema watachelewa makazini kwa sababu ya watu na uchu wa ikulu.
Wengine walikwenda mbali zaidi kutaka serikali kuzuia wana siasa kuzunguka na kumtaka kamanda wa polisi kutoa tamko ili wananchi wasiendelee kupata usumbufu usio wa lazima tena asubuhi.

[ATT ACH]279761[/ATTACH]View attachment 279762View attachment 279763

Unaongea pumba tu.
 
Back
Top Bottom