Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

Anapo endelea kukaa jijini anatakiwa kujua ikifika tarehe 9 December asubuhi na mapema lazima aamke ashike fagio na dekio la kudekia barabara...
 
Watu wengine maboya kweli,siasa ni kama pool table haina sare kila game lzm mtu afungwe na hakuna asiekuwa na washabiki kiufupi ni hivii,mshindi kashapatikana wote tunatakiwa kumuunga mkono kulijenga taifa,lkn humu mijitu mingine inadharau watu wala haifikirii,hebu mjiulize pombe asingepata upinzani kwa edo angetuahidi nini?kuna mtu aliwahi kusema ivii usimsifie Baba yako kuwa ana mbio msifie na yule anaemkimbiza.

Mi nawashangaa sana waTz . Hivi na nchi zingine wagombea walioshindwa wanabezwa na kudharaulika kama ccm wanavyotaka tuamini kwa Lowassa?????????!! Huko U.S. , UK, GERMAN, Itali, Nigeria, Kenya, Senegal etc. Wagombea walioshindwa wanabezwa na vibaka kweli ??!! Mtu aliyepata 40 percent umbeze kwa kipi ?! Hata Magufuli hawezi kumbeza huyo jamaa.

Ila humu Jf kuna mazuzu ya democrasia ( wakimataifa,Mr chin,Motochin,etc) hayalali bila kumbeza kiongozi wa watu . Jifunzeni kuwa wastahamilivu kwa kada isioamini nanyi pamoja
 
Lowassa ng'ombe wanakuhitaji Monduli. Zizini ndio Ikulu yako....hatupeleki vilaza Ikulu ya magogoni sisi. Yani mimi na shahada yangu ya uhandisi nimchague mtu aliyesomea usanii!? Si nitakuwa kichaa wa karne! Tena jitu hata kuongea haliwezi....likipewa jukwaa linaongea kwa dakika 3 tu...sasa huo si uboya....liende Monduli huko.

Weka CV ya Lowassa hapa tuone aliposomea huo usanii unaousema wewe
 
Weka CV ya Lowassa hapa tuone aliposomea huo usanii unaousema wewe

Nenda kacheki website ya bunge. Bado haijawa updated. Taarifa za wabunge wa zamani bado zipo...ndio utajua kuwa hilo fisadi lenu lilisome shahada ya usanii wa maigizo. Kumbe unamshabikia mtu usiyemjua!? Kweli UKAWA ni manyumbu.
 
mh lowasa aliambia bbcswahili baada ya kuulizwa swali kama akishindwa urais atafanya kazi gani alisema ataenda monduli kuchunga ng'ombe sasa ameenda au ni zile ahadi hewa.
inamaana angeupata urais ahadi za mwenye pkpk moja atakuwanazo mbili ingekuwa hewa.haya wale nyumbu zindukeni
Si tayari ameshaanza kuchunga kwani wewe hujui, alikuwa anamaanisha Mbowe, mbatia, na wafuasi wake. Slaa aligoma kuwa ng'ombe
 
mh lowasa aliambia bbcswahili baada ya kuulizwa swali kama akishindwa urais atafanya kazi gani alisema ataenda monduli kuchunga ng'ombe sasa ameenda au ni zile ahadi hewa.
inamaana angeupata urais ahadi za mwenye pkpk moja atakuwanazo mbili ingekuwa hewa.haya wale nyumbu zindukeni

huu nao ni uzembe wa kufikri kwa kiwango cha juu sana we ulidhani anarudi monduli kuchunga umesahau politics is life (EDO saivi yuko na ukawa wanaendeleza harakati za kisiasa mpaka tupate katiba mpya)
Hujui bila katiba mpya ata aje obama angombee upinzani hawezi kua Rais kulingana na katiba tuliyonayo..
Viva Lowasa endeleza mapambano ww ni shujaa ktk nchi hii uwe na nguvu kulisaidia taifa hili la wasiofikri kwa haraka...
 
Hii thread ni kipimo sahihi cha uelewa wa mambo hapa JF....

Wewe ni nyumbu tu....utamshabikiaje mtu ambae hata humjui? Yani hujui hata fisadi Lowassa kasomea nini chuo. Hujui background yake....kazi kushabikia tu. Nyumbu mkuu wewe.
 
Hata pushups ilikuwa ni maigizo...Tatizo la maigizo haya hayataisha mpaka 2020 watu watakapoona umuhimu wa maigizo!!


HATUNYWI SUMU HATUJINYONGI!!

akili zenu magamba kila kitu ndio nyinyi fata upepo jk mlimsifia leo ndio Wa kwanza kumpinga na mkapa mlimponda kama jk ngoja maigizo yaishe tutaona mengi ata Wa epa walifanyiwa hivyo hivyo kama TRA
 
CCM wamedumaza akili za watanzania wengi km inavyoonekana kwenye huu Uzi, watu hawajitambui kabisa inatia simanzi
 
Hujaelewa.
Anamaanisha sio kila lisemwalo wakati wa kampeni ndivyo lilivyo.
Mambo mengi husemwa kwa malengo mahususi tofauti kabisa na wanavyopokea hadhira.
Mf.Magufuli kusifia ziara za Kikwete huku akiwa hazikubali au Lowassa kujidai anaenda kuchunga wakati akijua kuwa hatofanya hivyo.
Ndio maana jamaa kamalizia kwa kukuasa usiwe Nyumbu,u-digest mambo kama Pepsin inavyomeng'enya protein.
Acha kupima UPEPO wewe Kia zama na Kitabu chake . Ulitaka amsemeje bosi wake? endeleza kampeni zako. hku sisi tunamuombea na kumtia nguvu Rais wetu wa awam ya tano
 
Mada za KISENGErema kabisa hizi!!
Lowassa sio Rais, hahusu maisha yako kivyovyote kwa sasa, Unawashwa na nini sasa!!?
 
40% sema 68% kawaulize LHRC wanajua ukweli wote na wana nakara original za matokeo yote
 
Back
Top Bottom