Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

Yupo tu hapo mjini anadhurura kwenye vijiwe vya kahawa kupiga umbea..hvi karibuni tutamwambia kova akamate wadhururaji wote hapo mjini warudishwe makwao kulima.
 
Lowassa ng'ombe wanakuhitaji Monduli. Zizini ndio Ikulu yako....hatupeleki vilaza Ikulu ya magogoni sisi. Yani mimi na shahada yangu ya uhandisi nimchague mtu aliyesomea usanii!? Si nitakuwa kichaa wa karne! Tena jitu hata kuongea haliwezi....likipewa jukwaa linaongea kwa dakika 3 tu...sasa huo si uboya....liende Monduli huko.
 
Ni wakati sasa wa kumfukuza kinguvu pengine yeye ndio sababu ya msongamano!
 
Watu wengine maboya kweli,siasa ni kama pool table haina sare kila game lzm mtu afungwe na hakuna asiekuwa na washabiki kiufupi ni hivii,mshindi kashapatikana wote tunatakiwa kumuunga mkono kulijenga taifa,lkn humu mijitu mingine inadharau watu wala haifikirii,hebu mjiulize pombe asingepata upinzani kwa edo angetuahidi nini?kuna mtu aliwahi kusema ivii usimsifie Baba yako kuwa ana mbio msifie na yule anaemkimbiza.
 
mh lowasa aliambia bbcswahili baada ya kuulizwa swali kama akishindwa urais atafanya kazi gani alisema ataenda monduli kuchunga ng'ombe sasa ameenda au ni zile ahadi hewa.
inamaana angeupata urais ahadi za mwenye pkpk moja atakuwanazo mbili ingekuwa hewa.hayam w
ale nyumbu zindukeni[/QUOTE
pombe ameshajenga mahakama ya mafisadi?
 
Yupo tu hapo mjini anadhurura kwenye vijiwe vya kahawa kupiga umbea..hvi karibuni tutamwambia kova akamate wadhururaji wote hapo mjini warudishwe makwao kulima.
hata kiswahili hujui mkimbizi we, wadhururaji ndio lugha gani?
 
Back
Top Bottom