Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM, Dk. John Magufuli, -amewashangaa watu wanaokejeli safari za nje za Rais Jakaya Kikwete, akisema manufaa ya ziara hizo ni makubwa kuliko wanavyofikiri.

Amesema kupitia safari hizo, Rais Kikwete amefanikiwa kuwashawishi wafadhili kutoa misaada ya miradi mbalimbali nchini.

Aliyasema hayo kwenye mkutano wa kampeni katika kata ya Mvumi Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma jana.

Dk. Magufuli alitoa mfano wa Sh. bilioni 992 zilizotolewa na Serikali ya Marekani hivi karibuni kupitia mfuko wa MCC kwa ajili ya miradi ya umeme kama sehemu ya matunda ya safari za Rais Kikwete nchi za nje.

?Mabilioni yaliyotolewa na MCC, yatasaidia kusambaza umeme katika mikoa na vijiji vingi nchini na tayari mipango imekamilika ya kuwafikishia wananchi nishati hiyo,? alisema.

Wakati huo huo, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimelaani kitendo kinachodaiwa kufanywa na wafuasi wa Ukawa kuvamia ofisi za chama hicho mkoani Tanga na kufanya mashambulizi mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa ya Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, January Makamba, shambulio hilo lilifanywa juzi kabla na baada ya Ukawa kumaliza mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tangamano kwa kurusha chupa zenye haja ndogo.

Aidha, alidai kuwa tukio hilo lilifuatiwa na la mgombea wao wa urais, Dk. John Magufuli, la kusimamishwa njiani na vijana wa Ukawa pamoja na kupiga kelele kwenye mkutano wake wa hadhara mkoani Mbeya kuwafanya wananchi wasimsikilize.

CHANZO: NIPASHE
Upo hapo baba! Huyu MTU wa kazi tu safari za nje leo hazina tija!!!!! Wabongo msiwe manyumbu!
 
Kuna nabii mmoja wafuasi wake walimuuliza " Tumeacha yote tukakufuata tutalipwa nini" akawajibu kifupi " UZIMA WA MILELE" sasa kuna wanasiasa waliacha nafasi zao nzuri wakamfuata mtu mmoja sijui walimuuliza swali hilo?
 
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM, Dk. John Magufuli, -amewashangaa watu wanaokejeli safari za nje za Rais Jakaya Kikwete, akisema manufaa ya ziara hizo ni makubwa kuliko wanavyofikiri.

Amesema kupitia safari hizo, Rais Kikwete amefanikiwa kuwashawishi wafadhili kutoa misaada ya miradi mbalimbali nchini.

Aliyasema hayo kwenye mkutano wa kampeni katika kata ya Mvumi Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma jana.

Dk. Magufuli alitoa mfano wa Sh. bilioni 992 zilizotolewa na Serikali ya Marekani hivi karibuni kupitia mfuko wa MCC kwa ajili ya miradi ya umeme kama sehemu ya matunda ya safari za Rais Kikwete nchi za nje.

?Mabilioni yaliyotolewa na MCC, yatasaidia kusambaza umeme katika mikoa na vijiji vingi nchini na tayari mipango imekamilika ya kuwafikishia wananchi nishati hiyo,? alisema.

Wakati huo huo, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimelaani kitendo kinachodaiwa kufanywa na wafuasi wa Ukawa kuvamia ofisi za chama hicho mkoani Tanga na kufanya mashambulizi mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa ya Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, January Makamba, shambulio hilo lilifanywa juzi kabla na baada ya Ukawa kumaliza mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tangamano kwa kurusha chupa zenye haja ndogo.

Aidha, alidai kuwa tukio hilo lilifuatiwa na la mgombea wao wa urais, Dk. John Magufuli, la kusimamishwa njiani na vijana wa Ukawa pamoja na kupiga kelele kwenye mkutano wake wa hadhara mkoani Mbeya kuwafanya wananchi wasimsikilize.

CHANZO: NIPASHE
Upo hapo baba! Huyu MTU wa kazi tu safari za nje leo hazina tija!!!!! Wabongo msiwe manyumbu!

Acha kupima UPEPO wewe Kia zama na Kitabu chake . Ulitaka amsemeje bosi wake? endeleza kampeni zako. hku sisi tunamuombea na kumtia nguvu Rais wetu wa awam ya tano
 
mh lowasa aliambia bbcswahili baada ya kuulizwa swali kama akishindwa urais atafanya kazi gani alisema ataenda monduli kuchunga ng'ombe sasa ameenda au ni zile ahadi hewa.
inamaana angeupata urais ahadi za mwenye pkpk moja atakuwanazo mbili ingekuwa hewa.haya wale nyumbu zindukeni

Mbona anaendelea kuwachunga ng'ombe wake! Si wafuasi wa Mboye!
 
Bado yupo tu hapa anashangaashangaa tu, vijana wake wote walokuwa na mahaba hadi wakimdekia wote wamemsusa, kutwa wako wanajipendekeza kwa magufuli

Si cdm wampe walau ukatibu jamani inakuwaje mtu aliyetaka kuwa rais wa nchi ,chama kisimuamini hata kuupa ,unaibu katibu wa chama ,kama wao hawa muamini inakuwaje sis wananchi ndio tumwamini
 
mh lowasa aliambia bbcswahili baada ya kuulizwa swali kama akishindwa urais atafanya kazi gani alisema ataenda monduli kuchunga ng'ombe sasa ameenda au ni zile ahadi hewa.
inamaana angeupata urais ahadi za mwenye pkpk moja atakuwanazo mbili ingekuwa hewa.haya wale nyumbu zindukeni

mzee wetu tunaye maskini town, tumetoka kuongeanaye jana katika kikao,hivi karibuni anaenda kwao, maana kapigiwa cm kuwa ng'ombe 6 zimezaa madume.kuhusu pikpk amesema ahadi yake palepale,tusubiri tu wachadema wenzangu, na hasa sisi watu wa kaskazini atatusaidia sana,ahadi yake ilikuwa ya pikpk 2, na sio mbili tena.ni Nne kwa kila kichwa.
 
mh lowasa aliambia bbcswahili baada ya kuulizwa swali kama akishindwa urais atafanya kazi gani alisema ataenda monduli kuchunga ng'ombe sasa ameenda au ni zile ahadi hewa.
inamaana angeupata urais ahadi za mwenye pkpk moja atakuwanazo mbili ingekuwa hewa.haya wale nyumbu zindukeni

Anamchunga anaye kupatia ugali
 
Si cdm wampe walau ukatibu jamani inakuwaje mtu aliyetaka kuwa rais wa nchi ,chama kisimuamini hata kuupa ,unaibu katibu wa chama ,kama wao hawa muamini inakuwaje sis wananchi ndio tumwamini

Umevurundwa na kuvurugwa kila pahala
 
Back
Top Bottom