Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe yuko wapi? Siku zimebaki chache na haeleweki

Membe NI sawa na ale watu wanaorubuniwa na motivational speakers
Anaambiwa kilimo Cha matikiti kinalipa hicho kwa maelezo ya mdomo Mtu anaona rahisi tuuuu

Ingia Sasa kwenye kilimo uoutane na changamoto zake ndio Membe

Watu wamemdanganya kugombea urais kqzi nyepesi utashinda , magu hapendwi nk kaingia kaona muziki nmnene
 
Shida yenu ninyi wenye maswali haya hamkujua Upinzani akili kubwa
Ilipangwa iwe ilivyo
Endeleeni kuota
 
Back
Top Bottom