Mgombea Urais: Chama changu kina Ilani nyingi

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
17,057
18,406
Akizungumza kupitia ZBC tar 01 october 2015, mgombea urais wa Zanzibar kupitia DP alisema chama chake kina ilani nyingi sana hivyo wananchi wajitokeze kuzisikiliza!
Pia kasema ataifanya ZNZ kuwa zaidi ya China, zaidi ya DUbai, Zaidi ya Hongkong!

Hivi kweli huyu ni mgombea serious? Hajui ilani ni nini na sera ni nini! ZEC kwa nini msiwaondoe wagombea ma bogus kupunguza matumizi yasiyo ya lazima?

Ni hayo tu.
 
Aondolewe asipunguze kura? Ogopa anayeweza kumnyima wananchi wake elimu ili atawale vizuri
 
Back
Top Bottom