Elections 2015 Mgombea Urais CCM 2015: Ni Bernard Membe au January Makamba

Hii aya ndiyo iliwapukutisha watajwa sifa za kuwa halali kupewa kijiti cha kuwakilisha vyama vyao.
Mfano: 1. Kitendo cha mleta mada kudai kuwa "....bado wana kazi kubwa ya kuaminisha watanzania kwamba atakayepita atakuwa Rais Bora na sio Bora Rais;....", ilikuwa wazi kabisa Mchambuzi alikuwa anajua fika hawa kwawakati huo walikuwa na sifa ya " bora rais". Hivyo wafuatilia mambo waling'amua mapema.

Mfano: 2. Pia Mchambuzi aling'amua mapema kuwa hata vyama vya ukawa vilijikita kwenye personalities badala ya issues. Hata mtanjwa alijikita zaidi kwenye personalities kumbuka "... orodha ya aibu ya Mwembeyanga...", wàandaji wa orodha wote hawakuwa na issues bali personalities matters kama ngao zao za kuaminiwa nawatanzania.

CCM ilitumia ushauri wa Mchambuzi kufanya maamuzi sahihi. Na baada ya CCM kushughulikia issues na kuua kabisa mambo ya personalities kwenye uendeshaji waserikali wale watumia hoja za personalities hawana lao kisiasa.
Asante uchambuzi mzuri.
Watu kama hawa Mchambuzi, ndio ma GT wa ukweli!, sijui amepotelea wapi?!.
P
 
Tundu Lissu is very very capable of becoming the next president of TZ.....Inasikitisha sana kuna watu wanahoji uwezo wa LIssu kuwa rais TZ.......infact....kwa hali ilivyo tz kwasasa......tunahitaji sana mtu wa upinzani awe rais(considering kwamba ndani ya ccm kumeoza)...Hakika....kwa maana hii...Tundu Lissue angekuwa rais mzuri sana wa kuiweka tz kwenye mstari.....Lissu is very smart.....ana msimamo.....hayumbishwi.....hazungumzwi hovyo kama mtu wa rushwa(he is not corrupt)....anaheshimika kwenye jumuiya ya professionals....ni mtu wa watu.....anaheshimu wajibu....

Na mwisho ni mzalendo sana.......Mimi simjui Lissu personally.....ila ninamsoma na kumsikiliza...na kumwona kama mtu makini sana hapa tz....We need people like Tundu Lissu to lead this country......Tz tuna watu wachache sana kama Lissu....I wish people in tz would be able to understand this come 2015.....haswa viongozi na wanachama wa CDM....ambao ndio watahusika kupitisha jina la mgombea wa CDM......Hakika.....let them kindly take my words...

Lissu ni candidate mzuri sana kwa urais kupitia CDM.....hawa kina Dr.Slaa na Mh.Mbowe...wanaweza kumpitisha na kumsupport Lissu....na tukapata a good candidate......I support your judgement Mchambuzi......hata hao kina Membe na Makamba....hawamfikii Lissu hata nusu.........Lissu is unique.....take my words....
Duh...!, Mkuu Nderingosha!, This wa 2012!.
Valid till todate!
P
 
Mkuu Mchambuzi, saa hizi nimesha pata kidogo, nikitulia nitakusoma kwa kituo na kukukumbusha ni lini na wapi mimi nilisema 2015 ni Magufuli, tatizo Magufuli hatabiriki kabisa, anaweza kuja kugeuka dikiteta wa ajabu hadi kuja kuwachenjia hata hao CCM wenyewe na wasiamini!.
Sh'kamoo kaka
 
Back
Top Bottom