Mgombea Udiwani wa CCM mbaroni kwa kugawa pombe usiku

naskia kamanda wa polisi ameaagiza afikishwe mahakamani mara moja kujibu shitaka la rushwa. bila shaka ulinzi shirikishi wa mwema at work
 
Acha kupotosha umma wa waTanzania,Jack Masamaki hajakamatwa na mtu yoyote..hizo habari ni za uhongo na Mbunge wa ilemela ndo anaye eneza uo uhongo wakati kunatetesi kua jana usiku alikua amelewa sasa kama ni kweli ivi mtu aliyelewa anaweza kweli kuto habari za ukweli?...
 
Highness mwenyewe akuwepo kwenye tukio analolisema amelithibitisha,na kwa taarifa zilizopo ingawa hazina uhakika ni kuwa mbunge alikua amelewa usiku huo..............
 
Wananchi wa kirumba ndo wanajua wamchague nani kuwa diwani wao lakini ni kwamba CDM waache kudanganya wananchi wa kirumba na tz kwa jumla bt why KIWIA amemtukana mpiga kura wake wa kirumba jana usiku na amepigwa makofi jana usiku hajasema? ndo aje aseme uongo kuhusu mgombea UDIWANI wa CCM kata ya kirumba? pls, plse CDM si watu wazuri jamani tuwaogope kama ukoma.
...punguza au acha kabisa NZAGAMBA na KONYAGI-MWITU...
 
Wangemuua kabisa kenge huyo mkubwa,ndiyo wanachelewesha ukombozi wa Taifa mana wameshatuibia pesa zetu vya kutosha sasa wanaturubuni tena na hizhizo pesa,hakika vita hii tutaishinda,dawa tukiwakamata hawa mbwa mwitu wa CCM wakiwarubuni wananchi kwa kuwapa pesa walizoiba ni kuwapiga hadi wafe.
 
Kenge kabisa nyie magamba,majambazi za mali za watanzania CCM mnahaha kila kukicha,mwaka huu hamtoki majambazi nyie.
 
jamani ee tuspotoshwe na watu wasiotaka maendeleo hizi tuhuma si za kweli hata kidogo,ndo maana hata alie positi hii habari hakuweza kuikamilisha kwa undani,hii inatokana na siasa majitaka ambazo ni za kumchafua mtu, mgombea udiwani wa ccm kata ya kirumba bw.jackson masamaki hayuko mbaroni na hajafanya kitendo hicho.Kwaiyo ndugu zanguni tuweni waungwana katika kipindi hiki cha kampeni tusiposti kitu kwa mapenzi ya mioyo yetu bali tupositi ukweli.
...mtu asiyemjali mama yake mzazi,atawafanyia nini cha maana wana-Kirumba?...haya masamaki yako tutayachana-chana na kuyewekea chumvi ili yawe kayabo tarehe 1/4/2012...
 
Back
Top Bottom