Mgombea Udiwani wa CCM mbaroni kwa kugawa pombe usiku

BY MATAPISHI

Ndugu zangu nawaomba sana tuwe wakweli mbele za mungu na nafsi zetu wenyewe, tusipende kuwa waongo na kuundanganya umma/ wananchi , ndugu Jackson Robert ( masamaki) hajakamatwa popote yupo mjini na anajipanga kwa kampeni leo kama kawaida lakini watu ( CHADEMA) wamekosa kazi ya kufanya ndo maana wanaanza kumchafua bila sababu ya msingi,nawaomba sana MFANO Mbunge wa ILEMELA acha siasa za uswahilini kwanza wewe ulishinda kwa bahati tu ( upepo ulikupitia) na mjue siasa za matusi, matope, uzushi zimepitwa na wakati why msiwambie wananchi ukweli ulivyo kuwa jack hajakamatwa? WANANCHI WOTE WAPENDA AMANI NA MAENDELEO YA KIRUMBA UKWELI NI KWAMBA JACKSON ROBERT NDO ANAFAA KUWA DIWANI WA KATA YA KIRUMBA NA SI MTU YEYOTE. OGOPENI SANA WATU WAONGO NA WANAODANGANYA UMMA/ WANANCHI KWA UJUMLA.

Source:Mwandishi wetu mwanza
 
Napenda kuwajulisha wananchi wote/ umma kwamba JACKSON ROBERT hajakamatwa popote wala hana tatizo lolote, yupo okey lakini tujue kwamba siasa za matusi na kupakana matope hazina msingi wowote, ila tujue kwamba kuwandanya wananchi sio kitu kizuri, HIGHNESS SAMSON KIWAI mbuge wa ilemela ametoa taarifa za uongo na si kitu kizuri na yeye ni kiongozi wa watu, ila simlaumu sana KIWIA kwani hata yeye alipata ubunge kwa kubahatisha ndo maana anakuwa muongo sana, Wananchi tuwe makini sana na viongozi wa CHADEMA kwani hawana sera nzuri kwa wananchi wao kazi yao kubwa ni kuharibu tu na si kujenga, JACKSON ROBERT ndo MGOMBEA PEKEE ANAYEWAFAA WANANCHI WA KATA YA KIRUMBA NA SI MTU YEYOTE YULE. Kwanza kugawa pombe ndo nini sasa, acheni utoto jamani . CHADEMA SIASA ZA MAJI TAKA SI NZURI JAMANI
 
Umenena ukweli kabisa mkuu. Hawa wenzetu wa CDM wanapenda sana kuendesha siasa za majitaka.
Hata hivyo hakuna tabu kwani sasa wananchi wameshawaelewa na watawaadhibu kwa kuwanyima kura.

Tanzania bado haijawa na chama cha upinzani kilicho makini.
 
Napenda kuwajulisha wananchi wote/ umma kwamba JACKSON ROBERT hajakamatwa popote wala hana tatizo lolote, yupo okey lakini tujue kwamba siasa za matusi na kupakana matope hazina msingi wowote, ila tujue kwamba kuwandanya wananchi sio kitu kizuri, HIGHNESS SAMSON KIWAI mbuge wa ilemela ametoa taarifa za uongo na si kitu kizuri na yeye ni kiongozi wa watu, ila simlaumu sana KIWIA kwani hata yeye alipata ubunge kwa kubahatisha ndo maana anakuwa muongo sana, Wananchi tuwe makini sana na viongozi wa CHADEMA kwani hawana sera nzuri kwa wananchi wao kazi yao kubwa ni kuharibu tu na si kujenga, JACKSON ROBERT ndo MGOMBEA PEKEE ANAYEWAFAA WANANCHI WA KATA YA KIRUMBA NA SI MTU YEYOTE YULE. Kwanza kugawa pombe ndo nini sasa, acheni utoto jamani .

hvi wewe unataka kuwalazimisha wananchi wachague kiongozi mbovu na mtoa rushwa kama mlivyozoea ma..Gam..Ba?,ndo zenu kuwahadaa na kuwadanganya wananch na ahadi zenu chafu za majukwaani ambazo implementation yake haipo au ni zero kabsa!!!.In short tumeshawachokeni sana nyie green na uongozi wenu mbovu hata mgejibadili hadi damu,hatuwataki tu.Mnafanana na nyoka wenye sumu kali.Miaka 50 mmetawala but shida tupu,yaani hamfai kabisa na muda wenu umeshakwisha.
 
BY MATAPISHI

Ndugu zangu nawaomba sana tuwe wakweli mbele za mungu na nafsi zetu wenyewe, tusipende kuwa waongo na kuundanganya umma/ wananchi , ndugu Jackson Robert ( masamaki) hajakamatwa popote yupo mjini na anajipanga kwa kampeni leo kama kawaida lakini watu ( CHADEMA) wamekosa kazi ya kufanya ndo maana wanaanza kumchafua bila sababu ya msingi,nawaomba sana MFANO Mbunge wa ILEMELA acha siasa za uswahilini kwanza wewe ulishinda kwa bahati tu ( upepo ulikupitia) na mjue siasa za matusi, matope, uzushi zimepitwa na wakati why msiwambie wananchi ukweli ulivyo kuwa jack hajakamatwa? WANANCHI WOTE WAPENDA AMANI NA MAENDELEO YA KIRUMBA UKWELI NI KWAMBA JACKSON ROBERT NDO ANAFAA KUWA DIWANI WA KATA YA KIRUMBA NA SI MTU YEYOTE. OGOPENI SANA WATU WAONGO NA WANAODANGANYA UMMA/ WANANCHI KWA UJUMLA.

Source:Mwandishi wetu mwanza

wewe lazima utakuwa ni ndugu yake, hofu yako nini sasa! sisi wengine si wapiga kura mkuu.
 
Wananchi wa kirumba ndo wanajua wamchague nani kuwa diwani wao lakini ni kwamba CDM waache kudanganya wananchi wa kirumba na tz kwa jumla bt why KIWIA amemtukana mpiga kura wake wa kirumba jana usiku na amepigwa makofi jana usiku hajasema? ndo aje aseme uongo kuhusu mgombea UDIWANI wa CCM kata ya kirumba? pls, plse CDM si watu wazuri jamani tuwaogope kama ukoma.
 
Napenda kuwajulisha wananchi wote/ umma kwamba JACKSON ROBERT hajakamatwa popote wala hana tatizo lolote, yupo okey lakini tujue kwamba siasa za matusi na kupakana matope hazina msingi wowote, ila tujue kwamba kuwandanya wananchi sio kitu kizuri, HIGHNESS SAMSON KIWAI mbuge wa ilemela ametoa taarifa za uongo na si kitu kizuri na yeye ni kiongozi wa watu, ila simlaumu sana KIWIA kwani hata yeye alipata ubunge kwa kubahatisha ndo maana anakuwa muongo sana, Wananchi tuwe makini sana na viongozi wa CHADEMA kwani hawana sera nzuri kwa wananchi wao kazi yao kubwa ni kuharibu tu na si kujenga, JACKSON ROBERT ndo MGOMBEA PEKEE ANAYEWAFAA WANANCHI WA KATA YA KIRUMBA NA SI MTU YEYOTE YULE. Kwanza kugawa pombe ndo nini sasa, acheni utoto jamani . CHADEMA SIASA ZA MAJI TAKA SI NZURI JAMANI

Umenena ukweli kabisa mkuu. Hawa wenzetu wa CDM wanapenda sana kuendesha siasa za majitaka.
Hata hivyo hakuna tabu kwani sasa wananchi wameshawaelewa na watawaadhibu kwa kuwanyima kura.

Tanzania bado haijawa na chama cha upinzani kilicho makini.
MATAPISHI...........MATAPISHI!
NGOROMIKO..........NGOROTIK= UHARO (Kimaasai)
.

So, kwa relation hiyo HAPO JUU, Ngoromiko=Matapishi=Multiple IDs= kujifagilia=Upumbafu!
 
bado ni tuhuma tuwe makini kuhukumu kama ilivyowahi kusikika kwamba godbless lema aliwahi kuwa jambazi. Propaganda za kisiasa ni nyingi kama kapelekwa polisi tuwe na subira kujua kwamba ni kweli au hapana

hata waleee! Wa magamba waliotuhumiwa kuwa mashoga nao vipi? Uchunguzi ulikamilika mama porojo?
 
MATAPISHI...........MATAPISHI!
NGOROMIKO..........NGOROTIK= UHARO (Kimaasai)
.

So, kwa relation hiyo HAPO JUU, Ngoromiko=Matapishi=Multiple IDs= kujifagilia=Upumbafu!

Ahsante mkuu kwa kutujuza!
 
Hii ndio mara yangu ya kwanza kuona magamba natao povu kulalamika kufanyiwa rafu kwenye chaguzi ha ha ha!

Kweli maji yamezidi unga na ugali hausongeki hapo ni kunywa uji tu hakuna la ziada
 
Hii ndio mara yangu ya kwanza kuona magamba natao povu kulalamika kufanyiwa rafu kwenye chaguzi ha ha ha!

Kweli maji yamezidi unga na ugali hausongeki hapo ni kunywa uji tu hakuna la ziada

uji wenyewe una mbonge!!!!!!!!!
 
Ndiyo wakuu! Mgombea wa kiti cha udiwani kata ya kirumba ccm ,ndgu Jack Masamaki amepigwa jana usku akituhumiwa kugawa pesa na kununua shahada za wapiga kura. Naomba salamu hizi zimfikie Samwel Sita aliyefungua kampeni zake. Wanakirumba wana sema hakunaga kama cdm. Naomba kuwasilisha.
 
kamanda kuna magamba mmoja amekanusha humu jamvini kuwa hakuna kitu kama hicho, endeleeni na mapambano peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees
 
Ni Bado CCM Taifa kila Sehemu CCM wakigawa Pesa Wanapigwa, Taifa Sababu wanatumia Polisi

Ngoja yatawakuta ya Zambia... Polisi wataanza kugoma kusindikiza hao wagawaji pesa za kura
 
Watasema wamejichukulia sheria mikononi wakati mtuhumiwa akipelekwa polisi huwa anachiliwa kwa maagizo ya uongozi wa CCM ngazi za juu.
 
Hayo maneno ndo kwanza nayasikia kwako...Jack masamaki ajapigwa na mtu yoyote acheni kueneza habari za uhongo zisizo na uhakika,na hayo maneno unayosema wanakirumba wamesema mbona me mwanakirumba sijasema...ulikuwepo alivyokua anapigwa?
 
Back
Top Bottom