Mgombea Udiwani wa CCM kata ya Themi-Arusha awatisha wapiaga kura kwa 'Tindikali'

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,020
Green guard maarufu Arusha kata ya Themi bwana Antony 'Kichwa kubwa' ametangaza hadharani kuwa amepewa 'ACID' na mgombea wa CCM kata ya Themi Mr. Victor Mkolwe kwa ajili ya kuwamwagia wale viherehere wote wenye ushawishi ktk kuipinga CCM kata ya Themi hasa Tawi la Fire.

Tishio hili limekuja baada ya CCM kuzidiwa nguvu na CHADEMA hapa Arusha na kupelekea ccm kufanya siasa za kupiga watu na kutoa vitisho kwa makada wa cdm wanaokubalika ktk maeneo yao.

Green guard huyo ambaye ni mpambe wa mgombea wa udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Themi Mr. Victor Mkolwe amekua akifanya matukio ya kihalifu dhidi ya makamanda wa chadema kwasababu ameshajua ccm imeumbuka kwa kukataliwa kila kona.

Vitisho hivi vimepelekea wakazi wengi wa Fire kuwakanya watoto wao wasionyeshe hadharani hisia zao za kuunga mkono CHADEMA kwa ajili ya usalama wao lakini makamanda wamesema wako tayari kumwagiwa Tindikali wakiwa ktk kutimiza wajibu wao kikatiba.


MY Take:
CCM kata ya Themi mnazidi kujiwekea image mbaya kwa kushiriki siasa chafu zinazofanywa na wahuni mliowapa kazi ya kupiga wapiga kura badala ya kuomba kura kwa sera makini.
 
Acha uzushi wako hapa mpumbavu wewe. Hizi ndiyo siasa tusizozitaka punguani wewe
 
Sasa naanza kuamini walichokisema wazungu kwamba mkiwapa hawa blacks bunduki watauana kama majani maana hawapendani. Wewe kwa nini unamtukana mwenzako. Jibu hoja toa na ushaidi kwamba alichokisema sio.
Hakuna haja ya kutukana why??


Acha uzushi wako hapa mpumbavu wewe. Hizi ndiyo siasa tusizozitaka punguani wewe
 
Acha uzushi wako hapa mpumbavu wewe. Hizi ndiyo siasa tusizozitaka punguani wewe

Tuambie ukweli badala ya matusi. Au wewe ndiye Kichwa Kubwa ndo maana umeamua kuharisha badala ya kujibu hoja!
 
Bavicha mnaangaika sana poleni.
Kuangaika sio kosa mkuu.

CCM mnalazimisha tuwape kura kwa kututisha kwa tindikali??

Bado siku 2 tupige kura na Arusha itakua 'jimbo darasa'


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom