Mgombea udiwani tlp kata ya elerai aurusha atimkia chadema

DR. PHONE

JF-Expert Member
Nov 12, 2012
504
91
Mgombea udiwani Kata ya Elerai Manispaa ya Arusha kwa tiketi ya Chama cha Tanzania Labour(TLP), Boysafi Peter Shirima jana alitangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Akitangaza uamuzi huo mbele ya umati wa watu, waliohudhuria mkutano wa hadhara wa kampeni zinazoendelea katika kata hiyo, alidai kuwa amejitoa katika chama hicho kutokana na chama kushindwa kuzindua kampeni za kumnadi licha ya kuwa mgombea kwa mkoa mzima wa Arusha.
 
Wanasiasa mufilisi, kwahiyo TLP wangemfanyia uzinduzi then TLP kingekuwa chama kizuri? hawa ni wanasiasa wa kuwachunga sana kabla ya kuwapokea.
 
Back
Top Bottom