• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mgombea udiwani kata ya Bukombe wa CCM hali ni tete

Kaputula La Marx

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Messages
562
Points
500
Kaputula La Marx

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2015
562 500
Mgombea udiwani anayetetea kiti chake anyefahamika kama Rozaria Masokola amekuwa katika wakati mgumu kutokana na upinzani mkali sana anaoupata kutoka kwa mpinzani wake anayewania nafasi hiyo kupitia CHADEMA bwana Peter Siantemi.

Hivyo amelazimika kupiga kampen za nyumba hadi nyumba baada ya wakazi wengi wa Kata hiyo hususani vijana kutomuunga mkono kwa kuwa ameshindwa kutekeleza ahadi alizozitoa 2010 .

Na pia ameshindwa kusimamia ipasavyo miradi ya kata hiyo kama ujenzi wa madarasa,wodi ya wazazi, soko la kila siku pamoja na usambazaji wa maji.
 

Forum statistics

Threads 1,404,269
Members 531,541
Posts 34,449,167
Top