YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,597
- 37
Kutoka mitaa ya sinza kuna habari kuwa mgombea udiwani kwa tiketi ya sisi em, mzee Mwaking'inda yuko hoi hospitali kwa presha baada ya kushindwa uchaguzi huu na kijana wa chadema. Chanzo hicho kilidai pia wapambe wa karibu wa mzee huyo wamekiri kuwa mambo yalikuwa magumu. Nilipohoji kisa cha presha hiyo nikaambiwa ni mikopo na vitu fulani alivyoweka bond....mwenye taarifa zidi jamani atupe tujue