Elections 2010 Mgombea udiwani hoi hosptali kwa kushindwa uchaguzi

YeshuaHaMelech

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
2,597
37
Kutoka mitaa ya sinza kuna habari kuwa mgombea udiwani kwa tiketi ya sisi em, mzee Mwaking'inda yuko hoi hospitali kwa presha baada ya kushindwa uchaguzi huu na kijana wa chadema. Chanzo hicho kilidai pia wapambe wa karibu wa mzee huyo wamekiri kuwa mambo yalikuwa magumu. Nilipohoji kisa cha presha hiyo nikaambiwa ni mikopo na vitu fulani alivyoweka bond....mwenye taarifa zidi jamani atupe tujue
 
updating: Habari za kuaminika zinasema mzee alianguka jana, akapelekwa hospitali lakini kwa sasa yuko mtaani. Inasemekana kakopa bank na some vitu ameuza...pole mzee wangu
 
Na bado watakwenda wengi mhimbili hususani kwa wale wanaong'ang'ania uongozi
suguuuuuu naniii suguuuuuu,nani suguuuuuu

mapinduziiiiii daimaaaaaa​
 
Ya nini yote babu yangu, kapumzike wajukuu tutakulea
 
Tunaomba asife sasa hivi ili aone mungu akitenda maajabu

Kweli kabisa, tena tumwombee ili tunavyobarikiwa ajionee kwa macho, hamna haja kabisa afe kabla hajaona............
 
kutoka mitaa ya sinza kuna habari kuwa mgombea udiwani kwa tiketi ya sisi em, mzee mwaking'inda yuko hoi hospitali kwa presha baada ya kushindwa uchaguzi huu na kijana wa chadema. Chanzo hicho kilidai pia wapambe wa karibu wa mzee huyo wamekiri kuwa mambo yalikuwa magumu. Nilipohoji kisa cha presha hiyo nikaambiwa ni mikopo na vitu fulani alivyoweka bond....mwenye taarifa zidi jamani atupe tujue

mbombo ngafu ikyinja iki loli. Ndagha malafyale bho bhunyambala.
 
kigogo upo? Sijakusikia jana nzima au ndio mambo ya kulinda kura? Yaani sisi em wanavyoanguka ktk uchaguzi kwangu burudaniiiii.... Hili liwe onyo kwa wanaochukua hatamu kuwa wakituletea upuuzi ktk kazi, tunawatosa....rahaaaaaa...oh fulani kakataa kusaini...mara ooh...fulani kaanguka...eeh Mungu warehemu wasife ili wajifunze... Jehova yu haiiiiiii..Jehova yu haiiiiiiiiii......
 
Alimwaga noti kwa vijana wa sinza starz wahamishane wamchague...mambo yamerudi vaisivesa..
 
updating: Habari za kuaminika zinasema mzee alianguka jana, akapelekwa hospitali lakini kwa sasa yuko mtaani. Inasemekana kakopa bank na some vitu ameuza...pole mzee wangu

Huyu mzee ndio genge moja na fisadi mwenzie Salum Londa ndio walikuwa magwiji wa kuuza open spaces Kinondoni; kama kweli kaangukia pua basi Mungu amewasikilizia sala zao watu wa Sinza na Kinondoni, kwani kungekuwa na utawala bora Mwaking'inda na Londa wangekuwa wanaozea Segerea kwa dhambi walizofanya kionndoni!
 
Pole sana, badala ya kukaa na kulea watoto na wajukuu wanang'ang'ania siasa.
 
Kweli Mungu yupo, huyu mzee alimchezea rafu mbaya sana mpinzani wake ktk kura za maoni za CCM ndugu GODFREY CHIKANDAMWALI, Alipoona kijana anataka kumshinda aliwatumia polisi wakamkamata na kumpa kesi ya uongo ya kuiba kwa mtutu,
 
Back
Top Bottom