Mgombea udiwan wa CHADEMA kata ya Kimandolu (Arusha) ni mpigakura wa Rombo, Kilimanjaro

calculator

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
279
137
Habari zilizothibitishwa na wafuatiliaji wa duru za siasa jijini Arusha zimebaini kuwa Ndg. Rayson E. Ngowi ambaye ni mgombea udiwan kata ya kimandolu, Arusha, kwa tiketi ya CHADEMA hayupo kwai daftar la wapiga kura kwa kata hyo. Ngowi mwenye kitambulisho namba 13214796 alijiandikisha mnamo tar 10 machi 2005, wilayani Rombo, mkoan Kilimanjaro.
Amepigiwa simu mara kadhaa kuthibitisha madai hayo ila hakutoa ushirikiano na amekuwa akitoa jibu moja tu "haikuhusu". Kazi kwenu wakazi wa kimandolu
 
Habari zilizothibitishwa na wafuatiliaji wa duru za siasa jijini Arusha zimebaini kuwa Ndg. Rayson E. Ngowi ambaye ni mgombea udiwan kata ya kimandolu, Arusha, kwa tkt ya CDM hayupo kw daftar la wapiga kura kw kata hyo. Ngowi mwenye kitambulisho namba 13214796 alijiandikisha mnamo tar 10 machi 2005, wilayani Rombo, mkoan Kilimanjaro.
Amepigiwa simu mara kadhaa kuthibitisha madai hayo ila hakutoa ushirikiano na amekuwa akitoa jibu moja tu "haikuhusu". Kazi kwenu wakazi wa kimandolu
Sioi Sumari alikua mpigakura wa Mbezi, DSM
 
Hayo ni majungu tafuta mlango wa kutokea. CCM hata mfanyeje kipigo ndo hicho kinakuja. Nyerere alisema kwamba, "Watu wakiwachoka watawala hata ukiwashindanisha na wendawazimu watu watachagua wendawazimu na kuwaacha hao waliochokwa"
 
Kwani tatizo liko wapi si anapigiwa kura na watu wa kimandolu au? Si inawezekana tu kwamba alijiandikisha huko na sasa amejiestablish kimandolu?hapa sioni point kabisa hizo ni propaganda uchwara za ccm na mshindwe na mlegee kbs
 
Too poor and too late.
Kama mleta mada uliliona hilo kwanini hukumwekea pingamizi wakati wa kupitisha wagombea?

Wewe unazungumzia kujiandikisha mwaka 2005 wakati maboresho ya kujiandikisha yalifanyika 2009, unajuaje kama hakuboresha ukaazi wake?
 
wandugu hili suala sio la kichama ni la kisheria wala sio la kulifanyia utani kama ni la kweli.

wanaojua sheria za uchaguzi watupe ufafanuzi katika mazingira kama hayo endapo kuna tatizo au hakuna.
 
Habari zilizothibitishwa na wafuatiliaji wa duru za siasa jijini Arusha zimebaini kuwa Ndg. Rayson E. Ngowi ambaye ni mgombea udiwan kata ya kimandolu, Arusha, kwa tiketi ya CHADEMA hayupo kwai daftar la wapiga kura kwa kata hyo. Ngowi mwenye kitambulisho namba 13214796 alijiandikisha mnamo tar 10 machi 2005, wilayani Rombo, mkoan Kilimanjaro.
Amepigiwa simu mara kadhaa kuthibitisha madai hayo ila hakutoa ushirikiano na amekuwa akitoa jibu moja tu "haikuhusu". Kazi kwenu wakazi wa kimandolu
Kwa hiyo unataka kusema kuwa tume haiko makini kumpitisha agombee ambako hajajiandikisha kama mpiga kura?.
 
Kwani tatizo ni nini? Ninachofahamu anayo haki kugombea popote,isipokuwa hataruhusiwa kupiga kura.
 
Habari zilizothibitishwa na wafuatiliaji wa duru za siasa jijini Arusha zimebaini kuwa Ndg. Rayson E. Ngowi ambaye ni mgombea udiwan kata ya kimandolu, Arusha, kwa tiketi ya CHADEMA hayupo kwai daftar la wapiga kura kwa kata hyo. Ngowi mwenye kitambulisho namba 13214796 alijiandikisha mnamo tar 10 machi 2005, wilayani Rombo, mkoan Kilimanjaro.
Amepigiwa simu mara kadhaa kuthibitisha madai hayo ila hakutoa ushirikiano na amekuwa akitoa jibu moja tu "haikuhusu". Kazi kwenu wakazi wa kimandolu

Yule mtoga sikio mliempelela Arumeru alikuwa na shahada ya jimbo gani? Mbona alikuwa na shahada ya Mbezi Dar na mkamleta Arumeru? Jaribuni kuwa na kumbukumbu.
pia hata awe ana shahada ya Mtwara, bado Kimandolu ni Tanzania.
Halafu ianbieni tume yenu ya uchaguzi iache ugamba iwe ina rekebisha daftari la wapiga kura mara kwa mara.
 
Too poor and too late.
Kama mleta mada uliliona hilo kwanini hukumwekea pingamizi wakati wa kupitisha wagombea?

Wewe unazungumzia kujiandikisha mwaka 2005 wakati maboresho ya kujiandikisha yalifanyika 2009, unajuaje kama hakuboresha ukaazi wake?

daftari lipo ofisi ya kata ya kimandolu, ngowi hayupo. na je angekuwa mgombea wa ccm ndo mwenye hii kashfa, mngemtetea hivi???
 
Back
Top Bottom