Mgombea Ubunge wa Jimbo la makunduchi wakati ulee

Mama anasema enzi hizo yeye ni masuruali na nywele ndefu tu.Anasema yeye ilikuwa ni uzungu kwenda mbele. Mpaka alipoambiwa na wazoefu kuwa hadi avae vitambaa na hijabu bila hivyo jamii ya wazanzibari asingekubalika, kuna clip analieleza hilo ,ndipo alipoanza kuvaa anavyova leo. Ile clip akianza kueleza mama kwa kauli yake alikuwa ujana maji ya moto. Kweli umri unatransform mtu. Ila jicho lake halijabadilika. Ana jicho lililolegea ila linaona. Perfect female personality and cool humour. Mama hongera hujaruka ngazi yoyote ya maisha ndiyo maana nina imani utamake a great leader. Ingawa katba yetu yenye absolute power may corrupt you absolutely Tunakuombea utuvushe mama bado nchi ya ahadi hatujaifikia, pamoja na nyimbo nzuri , kuingia uchumi wa Kati.
 
Muangalie huyo mgombea Ubunge wa makunduchi,kule mkoa wa kaskazini unguja,halafu weka commenty

View attachment 1776932
JamiiForums-22174012.jpg
 
Back
Top Bottom