Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
Nanukuu kampeni za mgombea huyu huko Igunga;Nitaanza na vijana>>vijana hamna kazi,mnakaa vijiweni bila kazi>>vijana mna 'very problems'>>Ninyi ni kama solar panels,mnachomeka juani muda wote>>mkinichagua,watoto wenu hawataenda na majembe shuleni na badala yake nitauza VX langu ili ninunue powertiller kwa kila shule>>Vijana nitawapa ajira ya kuendesha matrekta ya kijiji nitakayoyanunua>>Nitaajiri wataalam kutibu ng'ombe wenye kupe na nitawalipa kwa U.S dollars na British pounds kwa sababu shilingi haina thamani(mwisho wa kunukuu).Yaaani hopeless kabisa huyu mgombea,CHADEMA kibarikiwe.