Mgombea ubunge UPDP.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Nanukuu kampeni za mgombea huyu huko Igunga;Nitaanza na vijana>>vijana hamna kazi,mnakaa vijiweni bila kazi>>vijana mna 'very problems'>>Ninyi ni kama solar panels,mnachomeka juani muda wote>>mkinichagua,watoto wenu hawataenda na majembe shuleni na badala yake nitauza VX langu ili ninunue powertiller kwa kila shule>>Vijana nitawapa ajira ya kuendesha matrekta ya kijiji nitakayoyanunua>>Nitaajiri wataalam kutibu ng'ombe wenye kupe na nitawalipa kwa U.S dollars na British pounds kwa sababu shilingi haina thamani(mwisho wa kunukuu).Yaaani hopeless kabisa huyu mgombea,CHADEMA kibarikiwe.
 
hata mtazangaji wa Chanel Ten alocomment kuwa hawa jamaa ni 'Ze Commedy' Tena wanaweza kwashinda!!
 
Jamani ee kuwa masikini si lazima uwe ni umasikini kwa kipesa, hata mawazo hhehehehehe kanifurahisha sana huyo jamaa,, kaishia langapi huyooo?
 
Naona alikuwa anatafuta umaarufu kuwa alishawahi kugombea ubunge, maana nahisi anawaza kwa kutumia m......a....k.....lio:confused2: na watoto wahapelekwi shule kulima bali kujua kusoma,kwani hata majumbani mwao kuna mashamba ya kulima au hata bustani!!! Kweli ameishiwa sera!!!!!!!!!!11
 
Nanukuu kampeni za mgombea huyu huko Igunga;Nitaanza na vijana>>vijana hamna kazi,mnakaa vijiweni bila kazi>>vijana mna 'very problems'>>Ninyi ni kama solar panels,mnachomeka juani muda wote>>mkinichagua,watoto wenu hawataenda na majembe shuleni na badala yake nitauza VX langu ili ninunue powertiller kwa kila shule>>Vijana nitawapa ajira ya kuendesha matrekta ya kijiji nitakayoyanunua>>Nitaajiri wataalam kutibu ng'ombe wenye kupe na nitawalipa kwa U.S dollars na British pounds kwa sababu shilingi haina thamani(mwisho wa kunukuu).Yaaani hopeless kabisa huyu mgombea,CHADEMA kibarikiwe.

sijakueleuwa umeanza na mgombea wa updp umemalizia na mgombea chadema is there any comfusion?
 
Huyu kakosa sera kabisa na ningetemea ccm ndo waongee upupu kama huu na sio upinzani
 
sijakueleuwa umeanza na mgombea wa updp umemalizia na mgombea chadema is there any comfusion?
Nikimaanisha the only effective opposition party is CHADEMA na sio vyama uyoga kama UPDP.
 
Kumbe alikuwa mgombea?mimi nilwasha TV late kidogo nikakuta huyo bwana anaongea,nadhani alikuwa stendi na alikuwa amelewa,mimi nikadhani ni kipindi kipya cha Commedy na kwa vile sipendi haya makomedy ya kibongo nilihamia channel nyingine,kumbe alikuwa mgombea?CCM wanapoteza hela zao nyingi kuwalipa awa DOVUTWAS eti wagawe kura za upinzani,waste of resource.
 
Natamani kumuona live huyo mgo ombea kwa hiyo hapo ndio kamaliza kumwaga sera?
 
hawa ndio tunaowaita mbumbumbu mzungu wa reli. hajui anaongea nini, TZ ina vijimambo!!!!!!
 
Mbona mnamlaumu? Naye ametumia haki yake kugombea ubunge na wananchi wa Igunga ndio wana haki ya kuamua kumchagua au kutomchagua.
Ila tu,ana ahadi ambazo hazitekelezeki. Pengine lengo lake ni kutengeneza historia,kuwa naye alishiriki uchaguzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom