Elections 2010 Mgombea ubunge ubungo wa CCM apandisha katika mdahalo urafiki

:confused2: Mh! wabunge wa mwaka huu kwa kweli tumewapata.
 
Mwenye kuweza kutuwekea picha ya huyo mama atusaidie, wengine tuko mbali. Ila safari ndo hiyo, huyo mama amejimaliza mwenyewe, acha apumzishwe na kijana wetu, ili mambo yaende sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom