Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Same Magharibi kupitia CHADEMA, Gervas Mgonja asimamishwa kufanya kampeni kwa siku 14. NEC mtueleze huu utararibu ulianza lini?

Walitangaza mapema kupitia vyombo vya habari kwamba mtu akitoa kashfa na matusi jukwaani (badala ya sera) ambayo hayana ushahidi, adhabu mojawapo ni kufungiwa kufanya kampeni kwa siku kadhaa

Labda tujue ni sababu zipi zimetolewa na NEC mpaka wao kufikia uamuzi wa kuwafungia hawa?
Kuna wale waliomwita Matiko Malaya,wala hawajafungiwa!
 
Halafu mbona sioni picha za wana CCM wakipiga kampeni za Ubunge kulikoni?
 
CHADEMA ilifanya makosa sana kumpitisha Gervas Mgonja kuwa mgombea Same.
1.Gervas Mgonja siyo mkazi wa Same, ni mkazi na mpishi ktk hoteli ya kitalii Ars, lakini pamoja na hilo hana makazi Same. Same ni kijijini tu, siyo sawa na Dar , Ars , Mwz nk , maeneo hayo yanahitaji mtu makini mwenye local and native touch na wananchi...
Kumbe kampiga mtu? au unamsingizia ewe malaika mkuu?
 
Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba
Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14
Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?

NEC msicheze na huu uchaguzi, mtaishia pabaya!
Mnakosea sana kujifanya wageni wa sheria na taratibu za uchaguzi
 
CHADEMA ilifanya makosa sana kumpitisha Gervas Mgonja kuwa mgombea Same.

1.Gervas Mgonja siyo mkazi wa Same, ni mkazi na mpishi ktk hoteli ya kitalii Ars, lakini pamoja na hilo hana makazi Same. Same ni kijijini tu, siyo sawa na Dar , Ars , Mwz nk , maeneo hayo yanahitaji mtu makini mwenye local and native touch na wananchi.

2.Gervas ni mtu asiye na staha, mgombea wa ubunge kumvamia na kumpiga mgombea udiwani wa CCM kata ya Vudee ndg Youze Mzava na kumjeruhi mbele za wananchi ni jambo la ajabu sana na lisilotakiwa kufanywa na mtu makini.

3.Anatakiwa afungiwe na NEC kufanya kampeni na jeshi la police liendelee na mchakato wa kumburuza mahakamani baada ya kukiri kuwa alimpiga.

Nawaomba NEC wasiwaachie bila adhabu watu wa aina hii. Mambo ya vurugu asiwapelekee wazee wetu huko vijijini, aendelee huko Arusha.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Hii ni aibu kubwa Sana kwa chadema , mgombea na mleta mada ,

Ni tabia za kihuni kabisa hizo katika zama hizi za jamii iliyostaarabika,

Kupigana ni ishara ya hali ya juu kabisa kuwa mhusika hana busara na hafai kuwa kiongozi.
 
CHADEMA ilifanya makosa sana kumpitisha Gervas Mgonja kuwa mgombea Same.

1.Gervas Mgonja siyo mkazi wa Same, ni mkazi na mpishi ktk hoteli ya kitalii Ars, lakini pamoja na hilo hana makazi Same. Same ni kijijini tu, siyo sawa na Dar , Ars , Mwz nk , maeneo hayo yanahitaji mtu makini mwenye local and native touch na wananchi.

2.Gervas ni mtu asiye na staha, mgombea wa ubunge kumvamia na kumpiga mgombea udiwani wa CCM kata ya Vudee ndg Youze Mzava na kumjeruhi mbele za wananchi ni jambo la ajabu sana na lisilotakiwa kufanywa na mtu makini.

3.Anatakiwa afungiwe na NEC kufanya kampeni na jeshi la police liendelee na mchakato wa kumburuza mahakamani baada ya kukiri kuwa alimpiga.

Nawaomba NEC wasiwaachie bila adhabu watu wa aina hii. Mambo ya vurugu asiwapelekee wazee wetu huko vijijini, aendelee huko Arusha.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja. Huyu si wa kufungiwa mikutano ya kampeni tu bali anatakiwa afungwe hadi tutakapomuapisha huyo diwani aliyempiga ndio atashika adabu.
 
Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba. Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14. Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?

Kamati ya Maadili ya Jimbo la Same Magharibi, imekuta na hatia katika fujo zilizotokea kati yake na Diwani wa CCM kwenye jimbo Husika. Mwenyeki wa Kamati ya Maadili ni Mkurugenzi.

NEC msicheze na huu uchaguzi, mtaishia pabaya.

Tokezea barabarani acha kutishia nyau!
 
CHADEMA ilifanya makosa sana kumpitisha Gervas Mgonja kuwa mgombea Same.

1.Gervas Mgonja siyo mkazi wa Same, ni mkazi na mpishi ktk hoteli ya kitalii Ars, lakini pamoja na hilo hana makazi Same. Same ni kijijini tu, siyo sawa na Dar , Ars , Mwz nk , maeneo hayo yanahitaji mtu makini mwenye local and native touch na wananchi.

2.Gervas ni mtu asiye na staha, mgombea wa ubunge kumvamia na kumpiga mgombea udiwani wa CCM kata ya Vudee ndg Youze Mzava na kumjeruhi mbele za wananchi ni jambo la ajabu sana na lisilotakiwa kufanywa na mtu makini.

3.Anatakiwa afungiwe na NEC kufanya kampeni na jeshi la police liendelee na mchakato wa kumburuza mahakamani baada ya kukiri kuwa alimpiga.

Nawaomba NEC wasiwaachie bila adhabu watu wa aina hii. Mambo ya vurugu asiwapelekee wazee wetu huko vijijini, aendelee huko Arusha.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Huyo angefanya mambo hayo kwetu Mwanza ampige mwakijiji tunayeishi naye wakati yeye ni wakuja!! Sasa hivi angekuwa yuko jehanamu!
 
Walitangaza mapema kupitia vyombo vya habari kwamba mtu akitoa kashfa na matusi jukwaani (badala ya sera) ambayo hayana ushahidi, adhabu mojawapo ni kufungiwa kufanya kampeni kwa siku kadhaa

Labda tujue ni sababu zipi zimetolewa na NEC mpaka wao kufikia uamuzi wa kuwafungia hawa?
Kwahiyo mgombea wa CCM anamtumia Polepole ili asifungiwe! NEC hawezi kumfungia mtu asiye mgombea.
 
Back
Top Bottom