Mgombea ubunge Rajab Salum wa CUF ashauri vyama vya upinzani vifutwe kama vimeshindikana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,662
Aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Kinondoni Rajab Salum amesema kwa siasa alizozishuhudia katika uchaguzi huo ni heri vyama vya upinzani vikafutwa na ikabakia CCM pekee.

Rajab anasema anaunga mkono ongezeko la ukusanyaji wa mapato ya serikali linalowezeshwa na awamu hii ya 5 lakini haungi mkono kodi hizo kuteketezwa kwenye mambo ya siasa.


Chanzo: Star Tv tuongee asubuhi majadiliano
 
Kauli ya Mwinyi na Zitto Z Kabwe zinahusika .

Kagame must be stopped visiting Tanzania.

R.I.P. Binti Akwilina B.
Ndoto zako zote zimezimwa ghafula kama vile mshumaa uzimwavyo.
 
AMEONGE LA MAANA SANA, HILI LISAKOS LA MAKARAI MUST GO!
USUMBUFU TU MAHARAMIA!
 
AMEONGE LA MAANA SANA, HILI LISAKOS LA MAKARAI MUST GO!
USUMBUFU TU MAHARAMIA!
mumezidi kuua na nyie, utadhani nyie hamtakufa, na kufuta vyama vingi hamuwezi, kwani ni shinikizo la waliotupa kujitawala wenyewe
 
Ni kweli kaongea jambo la maana sana. Ila huyu lakini si ni team Lipumba? maana tunajua fika kama lipumba anatumika pia kuhujumu upinzani.
 
Back
Top Bottom