Mgombea ubunge NCCR Sumbawanga mjini aukataa ubunge aunganisha nguvu zake CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea ubunge NCCR Sumbawanga mjini aukataa ubunge aunganisha nguvu zake CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mlachake, Oct 21, 2010.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  WAKATI wagombea watatu wa CCM ,CUF na UDP wakikwepa kufika katika mdahalo wa wagombea ubunge jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa mgombea wa NCCR-Mageuzi Kiyaya Dominic (kulia) amewataka wananchi wa jimbo hilo kura zake zote kumpa mgombea wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema ) Mwalimu Norbart Yamsebo (kushoto mwenye shati jekundu)

  Pamoja na kuwaomba wananchi kumchagua mgombea wa Chadema kwa kuwa ndiye mwenye sifa za kuliongoza jimbo hilo pia amemwomba radhi mwenyekiti wa Taifa wa NCCR –Mageuzi James Mbatia kutoka na uamuzi wake wa kumuunga mkono mgombea mwenzake wa Chadema katika jimbo hilo.

  Dominic ambaye pia ni katibu wa NCCR-Mkoa wa Rukwa alitoa kauli hiyo jana wakati wa mdahalo wa wagombea ubunge jimbo la Sumbawanga mjini ,mdahalo ulioandaliwa na asasi za kiraia mkoa wa Rukwa (RANGO) kwa ufadhili wa jumuiko la asasi za Kiraia Tanzania uliofanyika ukumbi wa Bethelehem Centre mjini Sumbawanga.

  Alisema kuwa pamoja na chama chake kumwamini na kumsimamisha kugombea jimbo hilo ila bado amejipima na kuona kuwa hana uwezo kushindana na mgombea wa chama kisifa na kupendwa na wannachi na kuwaomba hata wagombea wenzake akiwemo wa CCM Aesh Hillary kumuunga mkono mgombea huyo wa Chadema.

  “Mwenyekiti wangu Mbatia na wananchi pamoja na wanachama wa NCCR-Mageuzi …..naomba sana msinichukulia tofauti siasa sio vita na lazima mwanasiasa mzuri usome alama za nyakati pia ….hapa Sumbawanga mjini mwenye sifa ya kuwa mgombea mwalimu Yamsebo ….hivyo lazima sisi wengine kumuunge mkono”

  Hata hivyo alisema kuwa muda wa kampeni uliobaki ataendelea kufanya kampeni kama kawaida ila zitakuwa ni kameni za kumnadi mgombea huyo wa Chadema na kumwombea kura kwa wananchi.

  Kwa upande wake Yamsebo mbali ya kumpongeza mgombea huyu wa NCCR –Mageuzi kwa kukubali yaishi bado alimwomba mgombea wa CCM kuiga mfano huo badala ya kusubiri kushindwa kwa aibu.

  Soma gazeti la Tanzania Daima kesho ama sikikiliza Wapo Radio Fm Dar ,Iringa Radio Ebony Fm

  Coutersy of Francis Godwin
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Safi sana!! Bado Kikwete!
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  WAKATI wagombea watatu wa CCM ,CUF na UDP wakikwepa kufika katika mdahalo wa wagombea ubunge jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa mgombea wa NCCR-Mageuzi Kiyaya Dominic (kulia) amewataka wananchi wa jimbo hilo kura zake zote kumpa mgombea wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema ) Mwalimu Norbart Yamsebo (kushoto mwenye shati jekundu)

  Pamoja na kuwaomba wananchi kumchagua mgombea wa Chadema kwa kuwa ndiye mwenye sifa za kuliongoza jimbo hilo pia amemwomba radhi mwenyekiti wa Taifa wa NCCR –Mageuzi James Mbatia kutoka na uamuzi wake wa kumuunga mkono mgombea mwenzake wa Chadema katika jimbo hilo.

  Dominic ambaye pia ni katibu wa NCCR-Mkoa wa Rukwa alitoa kauli hiyo jana wakati wa mdahalo wa wagombea ubunge jimbo la Sumbawanga mjini ,mdahalo ulioandaliwa na asasi za kiraia mkoa wa Rukwa (RANGO) kwa ufadhili wa jumuiko la asasi za Kiraia Tanzania uliofanyika ukumbi wa Bethelehem Centre mjini Sumbawanga.

  Alisema kuwa pamoja na chama chake kumwamini na kumsimamisha kugombea jimbo hilo ila bado amejipima na kuona kuwa hana uwezo kushindana na mgombea wa chama kisifa na kupendwa na wannachi na kuwaomba hata wagombea wenzake akiwemo wa CCM Aesh Hillary kumuunga mkono mgombea huyo wa Chadema.

  "Mwenyekiti wangu Mbatia na wananchi pamoja na wanachama wa NCCR-Mageuzi …..naomba sana msinichukulia tofauti siasa sio vita na lazima mwanasiasa mzuri usome alama za nyakati pia ….hapa Sumbawanga mjini mwenye sifa ya kuwa mgombea mwalimu Yamsebo ….hivyo lazima sisi wengine kumuunge mkono"

  Hata hivyo alisema kuwa muda wa kampeni uliobaki ataendelea kufanya kampeni kama kawaida ila zitakuwa ni kameni za kumnadi mgombea huyo wa Chadema na kumwombea kura kwa wananchi.

  Kwa upande wake Yamsebo mbali ya kumpongeza mgombea huyu wa NCCR –Mageuzi kwa kukubali yaishi bado alimwomba mgombea wa CCM kuiga mfano huo badala ya kusubiri kushindwa kwa aibu.

  Source:Francis Godwin ni mzee wa matukio daima

  My opinion: Prof Lipumba, na wana mageuzi wengine wa kweli wanatakiwa kumuiga shujaa huyu... muda bado upo kama wakiamua
   
 4. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  go move...!!!!

  saa ya ukombozi ni sasa//!
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,253
  Trophy Points: 280
  Huyu Bwana akumbukwe kwenye orodha ya mashujaa wa nchi hii itakapokuwa inahaririwa kwa upya...........
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bravoooooooo. Maslahi ya Nchi kwanza siyo chama. Mungu ambariki huyo jamaa yetu
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimefurahishwa na uamuzi wake,ni mwana mageuzi wa ukweli
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Swafi saaaaaaaaaaaaana
   
Loading...