Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia NCCR-Mageuzi ajitoa

Mocumentary

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
766
1,954
Mgombea Ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia NCCR-Mageuzi, Ugin Mkinga amejitoa kwenye kinyang'anyiro Amesema amefikia uamuzi huo ili aongeze nguvu kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani mambo anayoyataka ndiyo ambayo Rais Dkt. Magufuli JP amekuwa akiyafanya.

Chanzo: Swahili times

IMG_20200917_202836.jpg
IMG_20200917_202839.jpg
 
Halafu kuna watu wanasema wapinzani waungane. Mtu kachukua fomu juzi, halafu leo anajitoa, ni kipi alikuwa hakijui ndio kakijua leo kuhusu ccm, wakati kampeni za uchaguzi hazina hata wiki 3 kamili?
 
Rasha rasha mvua inakuja, ukisikia JPM anakuja kaa mbali yule ni mtendaji labda umshindanishe na Ji ping wa uchina
 
Majimbo manne ambayo CCM waliwaahidi NCCR kuwaachia ni yapi?
 
Back
Top Bottom