Daimler
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 556
- 973
Brian Kikoti.
Aliyekuwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Kilolo, mkoani Iringa kwa tiketi ya CHADEMA, Brian Kikoti amejiunga na CCM. Kikoti alitoa ushindani mkubwa kwa Mgombea wa CCM, Venance Mwamoto mwaka 2015. Katika matokeo hayo, Kikoti alipata kura 32,926, sawa na asilimia 41.6%.
Kikoti alipokuwa Mgombea Ubunge wa Kilolo mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA.