Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,856
- 371
Mgombea ubunge jimbo la igunga kupitia CUF amepata ajali. Kwa mjibu wa matangazo ya tbc taifa, bw mahona kapata ajali wakati anaelekea kupiga kura mara baada ya gari lao kugongwa na pikipiki. Kwa maelezo yake mwenyewe kupitia tbc taifa, gari lao limeharibika vibaya na wao wanaendelea vizuri.
UPDATES:- Haya ndo maneno yake " Cha ajabu pikipiki ni nzima na mwendesha pikipiki mwenyewe ni mzima, na tulikuwa wanne kwenye gari wote tumetoka wazima. Naelekea nyumbani kupiga kura, na nitapiga kura eneo la simbo -nyumbani. Baada ya saa 24 nategemea kuwa mbunge mpya wa igunga".