Mgombea ubunge huyu wa CCM alitokea wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea ubunge huyu wa CCM alitokea wapi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 21, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Jamani hii nimeipata live kutoka kwa swahiba wangu aliye Shinyanga. Anasema mgombea ubunge wa CCM jimbo la Shinyanga mjini aliyemtaja jina la Steven Masele hatakiwi na wana_CCM kwa sababu siyo mtu wa pale.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Swahiba yangu huyo anasema wana-CCM Shinyanga wanashangaa katokea wapi huyu kwani hana makazi pale na anaishi gesti. Kila siku anabadilisha gesti kwani watu humfuata na kumpigia kelele aonyeshe makazi yake.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Inasemekana mtu huyu alikuwa anafanya kazi TIGO, kanda ya Ziwa na hadi sasa haijulikani kwao ni wapi, kwani hata hilo jina la Masele ingawa ni la Kisukuma kuna wasiwasi alijipachika tu kwani hajui hata Kisukuma vizuri![/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Wadau, nashindwa kuzithibitisha hizi habari kutoka kwa mtu mwingine lakini naomba mwenye habari zaidi kuhusu huyu bwana atuwekee hapa.[/FONT]
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bora ni mtanzania kigezo cha anaishi wapi sio chenzo cha kuwa kiongozi bora
   
 3. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Hii nikweli.
  Kuulizana kwenu wapi ni ubaguzi ... na sisi tunaamini kila mtanzania ana haki ya kuishi popote pale TZ mradi havunji sheria.
  kama hawamtaki kwa sababu wanaona hafai nivyema .... hizo kura zao wampe mgombea wa chama cha upinzani.
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  naona tatizo ni kule kutokuwa na makazi ya kuduma, sasa kiongozi gani mwenye kukaa gesti? sasa matokeo yake ndio huko kuzidisha maswali, mbona kuna mbunge Muarabu na walimpigia kura?
   
Loading...