Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 739
Jana wakati naangalia luninga, nilishtuka kuona kuna mgombea mmoja hivi wa Tabora mjini, jina lake ni Aden rage, huyu jamaa nikakumbuka alikuwa anajihusisha sana na masuala ya mpira sijui ni TFF au ni sima na yanga...ninachokumbuka ni kwamba, uyu jamaa aliwahi kushtakiwa kwa wizi wa pesa, akawekwa ndani, akatoka kwa msamaha wa rais kikwete.
cha ajabu, anapeperusha bendera ya ccm, na anaenda bungeni kujifanya anatetea maslahi ya watz. mara wengine wamwite msomali, mara wengine wamwite mwizi..hivi wana Tabora mmekosa kabisa watu wa kugombea jamani? na, huyo jamaa ana nguvu ya aina gani kuweza kuwapiga chini watu wote hao, kwanza ikikumbukwa alijisafishaje hadi akarudi TFF/kwenye mpira kipindi kile, uwezo huo aliutoa wapi?
nchi yetu ni ya kifisadi sana. kwenye mpira wamejaa mafisadi...Mwakalebela alikuwa anafisadi tu mpirani huko arobaini yake ikawa kwenye kura za maoni Iringa....hivi INGEKUWA NCHI ZA WENZETU HUYU JAMAA ANGEKUWA NA UJASIRI WA KUSIMAMA NA KUGOMBEA KITU KWELI? Kama aliiba laki nane za TFF huko, atashindwaje kuiba pesa za wananchi huko bungeni?..yaani huo mfuko wanaoiita wa majimbo...