Mgombea ubunge aliyekuwa Mwizi apeperusha bendera ya CCM... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea ubunge aliyekuwa Mwizi apeperusha bendera ya CCM...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ubungoubungo, Oct 2, 2010.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Jana wakati naangalia luninga, nilishtuka kuona kuna mgombea mmoja hivi wa Tabora mjini, jina lake ni Aden rage, huyu jamaa nikakumbuka alikuwa anajihusisha sana na masuala ya mpira sijui ni TFF au ni sima na yanga...ninachokumbuka ni kwamba, uyu jamaa aliwahi kushtakiwa kwa wizi wa pesa, akawekwa ndani, akatoka kwa msamaha wa rais kikwete.

  cha ajabu, anapeperusha bendera ya ccm, na anaenda bungeni kujifanya anatetea maslahi ya watz. mara wengine wamwite msomali, mara wengine wamwite mwizi..hivi wana Tabora mmekosa kabisa watu wa kugombea jamani? na, huyo jamaa ana nguvu ya aina gani kuweza kuwapiga chini watu wote hao, kwanza ikikumbukwa alijisafishaje hadi akarudi TFF/kwenye mpira kipindi kile, uwezo huo aliutoa wapi?

  nchi yetu ni ya kifisadi sana. kwenye mpira wamejaa mafisadi...Mwakalebela alikuwa anafisadi tu mpirani huko arobaini yake ikawa kwenye kura za maoni Iringa....hivi INGEKUWA NCHI ZA WENZETU HUYU JAMAA ANGEKUWA NA UJASIRI WA KUSIMAMA NA KUGOMBEA KITU KWELI? Kama aliiba laki nane za TFF huko, atashindwaje kuiba pesa za wananchi huko bungeni?..yaani huo mfuko wanaoiita wa majimbo...
   
 2. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  Ni kweli jamaa alifungwa jela akatoka kwa msamaha wa raisi,lakini kabla hajatoka alikata rufaa.Hukumu ya rufaa ilitoka wakati ameshatolewa jela kwa msamaha wa raisi lakini mahakama ya rufaa ilimsafisha kwamba hukumu iliyompeleka jela haikuwa halali.Kwamba hakutenda kosa.Hivyo kikatiba anaruhusiwa kugombea nafasi yoyote ya uongozi.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Tabora iliharibiwa na Waarabu kama ilivyo Lindi, Tanga na Mtwara
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Ni mahakama zetu ndizo zilimsafisha? Sishangai kamwe kwani siku anahukumiwa kwenda jela alikuja kortini amevaa T. Shirt iliyoandikwa kifuani "CCM No. 1" Siku ya pili magazeti kadha yalionyesha picha hiyo. Huyo hakimu namsifu sana -- hakuyumbishwa na upuuzi huo mwa T- Shirt na akamsweka kule kunakostahili wezi.

  Mahakam Kuu ndiyo ikaja kuyumbishwa na ile T-Shirt! Makada wa CCM huwa hawaendi jela kabisa nchini humu. Niambie nani kaenda?
   
 5. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Na hata wakienda ni danganya toto, huyo Rage wakati amewekwa pale Ukonga mie nilikuwa naishi maeneo yale, kila siku jioni tulikuwa tunamuona na askari magereza kwenye ile bar opposite na gereza wanapiga stori na kula chakula kizuri huku akiwa kwenye mavazi ya kiraia, na hapo alishahukumiwa.Wajinga ndio waliwao! Jamaa ana influence ya ajabu, Mwaka huu ni wake, ameshinda uwenyekiti wa Simba na Bungeni pia ataenda.
   
 6. emmathy

  emmathy Senior Member

  #6
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  unashangaa nini bwana, hiyo ndio sisi em .Nasikia kuna hadi watuhumiwa wa wauza viungo wa ndugu zetu alb.........ila ipo siku ukweli utasimama.
   
 7. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hii thread imekaa kimajungu mno! Mahakama imeshamuona hana hatia sasa wewe unabisha nini? Kama hujaridhika na hukumu kakate rufaa, si ajabu hata ABC za sheria hujui lakini unakuwa mjuaji wa kupinga hukumu za mahakama. Punguza chuki sio nzuri kwa afya yako!
   
 8. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Mnamshangaa Osama na mandevu jamani!?? Mnajua kuwa CCM ni chama cha majizi, na usipokuwa mwizi CCM haikufai na watakunanihiino....!!CCM Sucks! wa TZ tuamke jamaniii!!!!
   
 9. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hii ndo nchi yetu. sijui itabadilika lini. sitashangaa siku mtu akishika urais wakati ni raia wa nchi za nje...sijui tuseme nchi imeuzwa, au inauzwa au itauzwa,..kiswahili gani kizuru hapa wajameni.
   
 10. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huu uchaguzi kama utasogezwa muda mbele hadi Jarnuary 2011 basi itakua hatari...maana nahisi watu kama wanaanza kuchanganyikiwa sasa..seriosly kabisa
  Mola jaalia hiyo siku ifike ili vichwa vya hawa waja wako virudi hali
   
 11. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,400
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Dear Ubungoubungo;
  Yes you're very right; Ismail Aden Rage; was jailed then released by Mkapa Government. Tanzania legal system is already corrupt; who is being jailed and set free is all questionable. Mr. Ndoranga was supposed to be put in jail for all his life. Kikwete and Rostam are supposed to be rotting in prison for rest of their lives. You YOUNG GENERATION heed my advise; I have what I wanted; but in case you do not seize this opportunity; of Dr SLAA being a President; people like you or Mr. Ismail ADen Rage will be rotting in jails; but the like of Rostam, Sita and Kikwete will prevail in this system; of a big fish surviving in smaller ones!! We need Dr. Slaa to change the course!!
   
 12. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kuna mwingine nilisikia huko Iringa alikuwa jambazi naye anapeperusha bendera ya sisi mizi!
   
 13. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Watu waliokuwa TFF wanajua vizuri alichofanya Rage, so whether alisafishwa au hakusafishwa hii haina maana. Lakini at least aliyeleta thread hii amesema "alikuwa mwizi". Kama sasa si mwizi ni afadhari kuliko wagombea wengine ambao tunafahamu kabisa kuwa still ni wezi. even worse wengine hata muungwana anasimama nao majukwaani na kuwanadi.
   
Loading...