Mgombea TUCTA afungua kesi Mahakama Kuu kutaka uchaguzi ubatilishwe

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,556
21,482
Mgombea wa nafasi ya mweka hazina katika uchaguzi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofanyika Novemba, 24, Mussa Mnyeti amefungua kesi Mahakama Kuu divisheni ya kazi kuomba mkutano mkuu wa uchaguzi ubatilishwe na uchaguzi urudiwe tena.

Mnyeti amesema sababu ya kufungua kesi ni mapungufu yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi ambayo yalikuwa ni kinyume na katiba ya shirikisho hilo na hivyo mahakama ni sehemu sahihi ambayo inaweza kutoa maamuzi sahihi kuhusu mapungufu yaliyotokea katika uchaguzi huo.
 
Kesi yake tumeipokea hapa mahakamani na ,huyu jamaa alikuwa amepandikizwa na Chama flani cha siasa kama wenzake sema yeye ni mhafidhina na ndio wakamtoa
 
Back
Top Bottom