Mgombea CUF Bukoba mjini naye akimbia mdahalo wa TBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea CUF Bukoba mjini naye akimbia mdahalo wa TBC

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutunga M, Sep 20, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mgombea ubunge jimbo la Bukoba mjini,Bw Kasimbazi amegoma kushiriki katika mdahalo wa TBC baina yake na Wilfred Lwakatare uliokuwa ufanyike jana jumapili mjini Bukoba.Wafanyakazi wa TBC wakiwemo mafundi walikuwa wametua mjini Bukoba lakini mgombea huyo wa CUF akagoma kwa madai kuwa haoni faida itakayopatikana.hata hivyo wadadisi wa mambo wanasema kuwa hiyo ni mipango ya mgombea wa CCM Balozi Kagasheki ambaye chama chake kilikwisha wazuia.inadaiwa kuwa kagasheki alihofia uwepo wa mdahalo huo kwani umegemsaidia lwakatare kujiimarisha kisiasa zaidi.Chanzo cha Habari hizi niredio k
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Basi kipindi kizima angeongea Rwakatare na kujuza watu sera za chadema na atakachowafanyia wana Bukoba!
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nilishawahi kusema humu kwamba CCM na CUF sasa ni dugu moja! Ndoa iliyofanyika chumbani sasa inajionyesha sebuleni!!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Upinzani umevamiwa na vizabizabina.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  basi hicho kipindi hakina tena muda watakifuta
   
Loading...