mzee wa mawe
Senior Member
- Aug 2, 2011
- 151
- 15
Mgombea wa kiti cha ubunge wa jimbo la igunga kupitia Chama cha wanainchi CUF Leopold Mahona amelivuruga soko la mji wa Igunga na kusababisha biashara kusimama kwa muda. Mahona alipita sokoni hapo jana kusalimia wafanyabiashara wa soko hilo na kusikiliza matatizo yao. Ziara yake ilionekana kumvuta kila mfanyabiasha wa sokoni hapo na wote walikuwa na shauku ya kumuona na kuzungumza naye. HABARI ZAIDI SOMA MTANZANIA uk 3.