Mgombea anayekiuka 'Electoral Code of Conduct' adhabu yake ni ipi?

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,942
4,316
Before each election, a Code of Ethics for Elections is agreed on by the NEC, the government and the registered political parties wishing to participate in the elections. This Electoral Code of Conduct is a set of regulations legally binding on the parties and individual candidates.

The purpose of the Code is to sustain fairness, mutual understanding and tolerance among stakeholders and guarantee peace and tranquility throughout the electoral process.

The Code addresses three main areas:
(1) Ethics for political parties and candidates.
(2) Ethics for the government of the United Republic of Tanzania.
(3) Ethics for the National Electoral Commission.

This Electoral Code of Conduct clearly lays down the sanctions to be imposed for failure to adhere to the code which among other things include fines and disqualifications of candidates especially those who are persistant offenders.

Among the acts which are clearly stipulated in the Code which ought not to be done by political parties, candidates and supporters during the electoral process include:
(i) Use of language which is abusive, defamatory, belittling, threatening or that incites disorder or violence. Such a language shall not be allowed during the electoral process.

Sasa kama kuna mgombea ambaye lugha pekee anayoijua ni ile iliyokatazwa kabisa kabisa kwenye hiyo Electoral Code of Conduct, kipi anachokitafuta?
 
Unafanya marejeo ya vingine vyote lakini kwa makusi kabisa unagoma na kuruka kufanyia marejeo tuhuma yaani lugha iliyotumika.
 
Ni nani aliwahi kuwa disqualified ni hiyo Electoral code of conduct na miaka yote watu wanarushiana vijembe kuwa watu hadi waliitwa wabumbavu na malofa mbona haikutumika kudisqualify wagombea wao. Hebu tuache kuwa na double standard joto litapanda watu wavumilie kukosolewa hata kama itawauma sana sababu kwa miaka mitano walikuwa wanasigiwa tu. Sasa hivi kukosoa ni maneno makali sababu kwa miaka 5 Haya kuwa yanasikika kama yangekuwa yanasikika watu wangeyazoea kuwa ni ya kawaida kutokana na utafauti wa mtizamo
 
Before each election, a Code of Ethics for Elections is agreed on and by the NEC, the government and the registered political parties wishing to participate in the elections. This Electoral Code of Conduct is a set of regulations legally binding on the parties and individual candidates.

The purpose of the Code is to sustain fairness, mutual understanding and tolerance among stakeholders and guarantee peace and tranquility throughout the electoral process.

The Code addresses three main areas: (1) Ethics for political parties and candidates.
(2) Ethics for the government of the United Republic of Tanzania.
(3) Ethics for the National Electoral Commossion.

Kupitia tu hiki ulichokiandika hapa na kwa mwenendo ninaouona naanza kuhisi kuwa Watu wanaweza Kupigikiwa Kura na Watanzania wakiwa Jela.
 
Mwana kuli-find mwana kuli get
 
Unafanya marejeo ya vingine vyote lakini kwa makusi kabisa unagoma na kuruka kufanyia marejeo tuhuma yaani lugha iliyotumika.
Wagombea wa urais, ubunge na udiwani wako maelfu. Mimi nimekuletea sheria na kanuni zinazowabana katika kipindi hiki cha mchakato wa uchaguzi mkuu.

Nimesema kama kuna mmoja wao anayekiuka hiyo sheria persistantly kipi anachotafuta? Adhabu iliyoainishwa kwenye hiyo sheria au kipi hasa anatafuta akipewa hiyo adhabu? Hilo ndilo swali langu. Sijataja mgombea ye yote anayefanya hivyo. Nimeuliza kama yupo anayefanya hivyo. Au mwenzangu unamjua anayefanya hivyo unayetakaa tutoe mrejesho? Mtaje basi ndugu yetu, usiogope.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kupitia tu hiki ulichokiandika hapa na kwa mwenendo ninaouona naanza kuhisi kuwa Watu wanaweza Kupigikiwa Kura na Watanzania wakiwa Jela.

Mbona mimi nimewaletea tu hiyo sheria na kanuni inayotawala mchakato wa uchaguzi mkuu ili angalao wale ambao hawaijui waifahamu. Mbona unakuwa na wasi wasi wa kupelekwa jela?
 
Ni nani aliwahi kuwa disqualified ni hiyo Electoral code of conduct na miaka yote watu wanarushiana vijembe kuwa watu hadi waliitwa wabumbavu na malofa mbona haikutumika kudisqualify wagombea wao. Hebu tuache kuwa na double standard joto litapanda watu wavumilie kukosolewa hata kama itawauma sana sababu kwa miaka mitano walikuwa wanasigiwa tu. Sasa hivi kukosoa ni maneno makali sababu kwa miaka 5 Haya kuwa yanasikika kama yangekuwa yanasikika watu wangeyazoea kuwa ni ya kawaida kutokana na utafauti wa mtizamo
Huko nyuma hakujawahi kutokea persistant offenders. Walikuwa wanaonywa wanaacha.
 
Tatizo ni uwezo wa NEC kudhibitisha pasipo Shaka au uonevu kosa la ukiukwaji wa maadili ya uchaguzi.

Mlisema CDM imekufa Sasa Naona maccm Safari hii mnaomba kikombe hiki kiwaepuke,
Kwa mbeleko ya NEC
NEC huwa inachukua hatua mara moja ukiukwaji unapotokea kwa kuwapa onyo au karipio wahusika na kuwataka wajirekebishe. Bahati nzuri wahusika wa makosa haya huwa wanajirekebisha. Ndiyo maana chaguzi zetu zote zimekuwa za kistaarabu na za amani. Ila zamu hii inaelekea kuna watu wanatafuta wanalolijua wenyewe. Hawakubali kujirekebisha kwa maonyo au makaripio. Tusitake kuilazimisha NEC kutoa adhabu kali zaidi zilizoainishwa kwenye hiyo sheria.
 
Before each election, a Code of Ethics for Elections is agreed on by the NEC, the government and the registered political parties wishing to participate in the elections. This Electoral Code of Conduct is a set of regulations legally binding on the parties and individual candidates.

The purpose of the Code is to sustain fairness, mutual understanding and tolerance among stakeholders and guarantee peace and tranquility throughout the electoral process.

The Code addresses three main areas:
(1) Ethics for political parties and candidates.
(2) Ethics for the government of the United Republic of Tanzania.
(3) Ethics for the National Electoral Commossion.

This Electoral Code of Conduct clearly lays down the sanctions to be imposed for failure to adhere to the code which among other things include fines and disqualifications of candidates especially those who are persistant offenders.

Among the acts which are clearly stipulated in the Code which ought not to be done by political parties, candidates and supporters during the electoral process include:
(i) Use of language which is abusive, defamatory, belittling, threatening or that incites disorder or violence. Such a language shall not be allowed during the electoral process.

Sasa kama kuna mgombea ambaye lugha pekee anayoijua ni ile iliyokatazwa kabisa kabisa kwenye hiyo Electoral Code of Conduct, kipi anachokitafuta?
Wewe unahangaika bure tasrifa zenu na Jiwe wenu mlizoagiza tume ya uchaguzi kukata majina ya wagombea urais wa Chadema na Act tunazo na wabunge mnawahofia
Screenshot_20200813-115414.png
 
Ni nani aliwahi kuwa disqualified ni hiyo Electoral code of conduct na miaka yote watu wanarushiana vijembe kuwa watu hadi waliitwa wabumbavu na malofa mbona haikutumika kudisqualify wagombea wao. Hebu tuache kuwa na double standard joto litapanda watu wavumilie kukosolewa hata kama itawauma sana sababu kwa miaka mitano walikuwa wanasigiwa tu. Sasa hivi kukosoa ni maneno makali sababu kwa miaka 5 Haya kuwa yanasikika kama yangekuwa yanasikika watu wangeyazoea kuwa ni ya kawaida kutokana na utafauti wa mtizamo
uzee wa sheria haumaanishi imekuwa kibogoyo, inaweza anza kung'ata leo hatakama ipo tangu zamani
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom