Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,620
- 154,968
Lowassa anataka tuingie vitani ili afanye biashara ya silaha
Mpaka sasa kauli nzito za kutishia vita zimeshatamkwa na wafuatao:
1. Samwel Sitta
2. BERNARD Membe
3. Edward Lowassa.
Ukiangali nyuma ya pazia utajua kuwa hawa wote wana Political Motive, na ni prospectives wa 2015!
ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO!
Lowassa anataka tuingie vitani ili afanye biashara ya silaha
We are dancing to the same tune now!Nilikua na wazo kama lakwako mkuu
kama ulimsikiliza membe vizuri alisema Serikali ya ccm haitaweza kuvumilia vitendo kama hivi . badala yakusema serikali YaTanzania , pia sioni haja saana ya kuitaja ccm kwenye huu mgogoro
nchi ndoina ingia kwenye vita nasi serikali ya ccm kama alivyo sema
nakubaliana na wewe hii ni janja ya nyanikula indibichi
Wewe unasema hayo maneno coz uko Mbali na eneo la tukio!
Mtu anayeishi Mbeya au pale pale Kyela hawezi kuthubutu kuongea kitu hicho.
Ukitaka kujua zaidi waulize watu wa Uganda wa miaka ya 1978/79 wakueleze shughuli ya vita inamaanisha nini kwa raia wanaoishi hapo.
Just as we are talking here, nothing is the same in Kyela. Kuna jamaa yangu hapa kila baada ya masaa mawili anapokea simu za kuombwa hifadhi huku kutoka kwa watu wa kwao huko Kyela!
Think about it from the obtuse angle.
Suala ambalo lipo ni kuwa Wamalawi wametangaza ziwa lote ni lao na wameanza kufanya utafiti wa mafuta ndani ya ziwa bila kujali mpaka katikati ya ziwa! sasa je waachiwe tu waendelee? nani anajua kesho congo watasema tanganyika lote ni lao uganda wakasema victoria lote lao? mimi naona hatua za kijeshi dhidi ya malawi zinacheleweshwa bila sababu jeshi li strike haraka sana na kuwaondoa ndani ya mipaka yetu!tuacheni woga!