Mgogoro wa wafugaji nchini imeshamiri sana

Nasikitika

Member
Sep 11, 2021
22
16
Daah kwa kweli siku hzi wafugaji na wakulima kuna migogoro mbalimbali hutokea Kila siku.

Mifugo kula mazao ya wakulima inapelekea migogoro mbalimbali hata vifo pia.

Tutafanya nin ili kupunguza mogogoro na vifo hivyo?
 
Leo hii nimeponea kuuliwa na hao hao wafugaji kwenye shamba langu. Nisingekua nina mbio za kutosha, nadhani sasa hivi watu walikua wanajiandaa kula mchele wangu. Ubaya ni kwamba, baadhi ya viongozi wanashirikiana na hao wafugaji
 
Wafugaji wengi hawana malisho ya uhakika kwa mwaka mzima, hivyo, huhama hama kutafuta sehemu za malisho. Kwa vile mifugo inakuwa haina chakula inakimbilia kile penye chakula, na wale wanaowaswaga huwa wana uzembe au wanazidiwa maana ng'ombe huwa ni wengi hususani mifugo ya Maasai. Kunahitajika jitihada kubwa sana ili kuleta utulivu kati ya wafugaji na wakulima nchini.
 
Mkuu hongera kwa kutoa mada hii maana hii changamoto imekua kubwa sana hapa tz binafsi kwa maoni yangu serikali imeshindwa kutatua tatizo kutoka kwenye chanzo direct ila mara nyingi wanaresolve hizi conflict indirect kabisa
Hapo tatzo sio uhasama wa wafugaji na wakulima ila kikubwa ni upungufu wa malisho ndo chanzo cha watu mpaka kufkia kuuwana mi nadhan serikali ingeweka njia mbadala wa kuhakikksha wanaweka wataalumu wa malisho kila sehemu zenye wafugaji ili wapunguze zile movemnt za hapa na pale kwa ajiri ya mifugo yao
Pili serikali ingesambaza elimu kwa jamii za wafugaji kupitia maextensionist na hata walimu darasani juu ya athari zitokanazo na ufugaji wa wanyama wengi kwa eneo moja na dogo pamoja athari zitakanazo na kuhamahama katka mazingira.
Tatu kuintroduce mbegu bora mfano unakuta mmasai anangombe 100 kila ngmbe atumia miaka zaid ya mitatu kufkia uzito wa kuchinjwa bado anaconsume majani kwa wingi na kuaribu mazingira lakini ukileta mbegu bora zichukuazo mda mchache kukua na kufikia uzito stahiki itasadia kwa namna moja au nyingine wa kumshawishi mfugaji kua nao wachache
Nne sera za mifugo ni changamoto jamani zirekebishwe na hii ndo chacho cha yote hayo wafugaji wengi awana elimu ya ufugaji kabisa imagine ukimfundsha mmasai jinsi ya kutunza malisho kipindi cha kiangazi kulima na kuvuna aina tofauti za nyasi kwa jinsi anavopenda ngmbe wake atafanya tu impact yake itakua ni kubwa wakulima awatopata shida zinazowakuta
 
Kwel kiongozi point ulizo zitoa zipo sawa kabisa!!
Na pia nchi yetu ni ya pili katika kuongoza mifugo in Africa continent!!

Shukrani sana
 
Daah kwa kweli siku hzi wafugaji na wakulima kuna migogoro mbalimbali hutokea Kila siku.

Mifugo kula mazao ya wakulima inapelekea migogoro mbalimbali hata vifo pia.

Tutafanya nin ili kupunguza mogogoro na vifo hivyo?

Wenzetu walimaliza hii Migogoro karne iliyopita! pia mikoa kama Arusha na Kilimanjaro Wakoloninwalishamaliza haya mambo ndo maana uwezi kuta migogoro hii sehemu hizo.Ufugaji wa kuhama hama ,mbali na kuharibu Mazingira na Mazao ya Kilimo pia uharibu Mazingira na Uoto wa asili. Ifike mahali Serikali iweke enforcement ya kuanzisha vijiji wa wafugaji na Ranches.Kumaliza hili Tatizo na pia kuleta tija kwenye sekta ya Ufugaji.Kuanzia mbegu Bora za mifugo na sio Bora Mifugo na kuhamasisha wafugaji kuwa na fixed place for living and animals Keeping
 
Leo hii nimeponea kuuliwa na hao hao wafugaji kwenye shamba langu. Nisingekua nina mbio za kutosha, nadhani sasa hivi watu walikua wanajiandaa kula mchele wangu. Ubaya ni kwamba, baadhi ya viongozi wanashirikiana na hao wafugaji
Mkuu uko maeneo gani
 
Wenzetu walimaliza hii Migogoro karne iliyopita! pia mikoa kama Arusha na Kilimanjaro Wakoloninwalishamaliza haya mambo ndo maana uwezi kuta migogoro hii sehemu hizo.Ufugaji wa kuhama hama ,mbali na kuharibu Mazingira na Mazao ya Kilimo pia uharibu Mazingira na Uoto wa asili. Ifike mahali Serikali iweke enforcement ya kuanzisha vijiji wa wafugaji na Ranches.Kumaliza hili Tatizo na pia kuleta tija kwenye sekta ya Ufugaji.Kuanzia mbegu Bora za mifugo na sio Bora Mifugo na kuhamasisha wafugaji kuwa na fixed place for living and animals Keeping

Fact
 
Wafugaji wengi hawana malisho ya uhakika kwa mwaka mzima, hivyo, huhama hama kutafuta sehemu za malisho. Kwa vile mifugo inakuwa haina chakula inakimbilia kile penye chakula, na wale wanaowaswaga huwa wana uzembe au wanazidiwa maana ng'ombe huwa ni wengi hususani mifugo ya Maasai. Kunahitajika jitihada kubwa sana ili kuleta utulivu kati ya wafugaji na wakulima nchini.
Botswana na South Africa wanaouza nyama mpaka UK awana hili Tatizo Why?? Walisha acha 1.Kulisha ngombe kama sisi hapa 2.Waliondoa Ngombe wa asili(amabo sisi mpaka Kesho tunao na Tunajivuna nao kwa idadi na sio Ubora) Wakatengeneza Ngombe wenye tija(Ngombe mmoja anafika 2000Kilos) sawa sawa na ngombe kama 15 wa wasukuma/Wamasai😁.Ili tuondokane na hii kadhia ya maogomvi ya wafugaji na wakulima kila kukicha tunatakiwa kufanya hayo mawili hapo juu- akuna mbadala wa hili

20210912_082603.jpg

20210905_193743.jpg
 
Kuna hatari ya kukuza mambo. Tatizo la kijiji kimoja lisiwe tatizo la nchi nzima. Sehemu nyingi za mkoa wa Arusha wanalima na kufuga lakini hakuna mfugaji alishaye ng'ombe shamba la mkulima deliberately.
 
Wenzetu walimaliza hii Migogoro karne iliyopita! pia mikoa kama Arusha na Kilimanjaro Wakoloninwalishamaliza haya mambo ndo maana uwezi kuta migogoro hii sehemu hizo.Ufugaji wa kuhama hama ,mbali na kuharibu Mazingira na Mazao ya Kilimo pia uharibu Mazingira na Uoto wa asili. Ifike mahali Serikali iweke enforcement ya kuanzisha vijiji wa wafugaji na Ranches.Kumaliza hili Tatizo na pia kuleta tija kwenye sekta ya Ufugaji.Kuanzia mbegu Bora za mifugo na sio Bora Mifugo na kuhamasisha wafugaji kuwa na fixed place for living and animals Keeping
Serikali ya tz hu iko serious kupambana na wapinzani tu..kwengine huku ni janja janja tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom