Mgogoro wa viti maalum CHADEMA: Mbowe ana mkakati gani wa kuvunja kambi ya Askofu Bagonza, kambi ya Askofu Mwamakula, na kambi ya kina Mdee?

Uamuzi huo tayari umepingwa kwa hoja.
So it is hanging in balance.
Wajumbe wa BKT wanakuja kumaliza kazi.
Watabatilisha kila kitu.
Sijui ulisoma shule gani. Currently si wanachama wamevuliwa uwanachama na kamati kuu, ndiyo maana wamekata rufaa kuomba warudishiwe uwanachama!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Wewe unafanya utabiri wa wa hali ya hewa (Future tense)
 
Hawana vyeo vovyote.

Ni washauri wa kiroho tu.

Kwa hiyo, kuwapa taarifa za chama ni kuvujisha siri za chama, kinyume cha kanuni ya 3(c)(i) ya Mwongozo wa Kamati za Maadili ya Chama.
WASHAURI WA KIROHO... Kumbe unajua mambo ya ROHO, ILA HUJUI ROHONI NI WAPI...

mama amon bwana unafurahisha
 
WASHAURI WA KIROHO
"WASHAURI WA KIROHO" ninaowaongelea ni watu wanaoongoza roho za wenzao. Roho ni kinyume cha mwili. Ni kisawe cha akili. Akili iko kwenye ubongo. Jicho la kiroho ni mlango wa sita wa fahamu--yaani urazini.

Lakini hivyo sivyo wewe unavyotumia misamiati hii "jicho la kiroho." Unalitumia kumaanisha kitu kama vile "maono". Katika falsafa hakuna kitucha aina hiyo. Haya sasa jenga hoja yako tena tuona kama itaeleweka.
 
Hahahahah, KUMBE HATA KUELEWA PIA NI SHIDA...

Na naona unaji-express kwa kutumia ile mada nyingine uliyokanusha habari za ndoto..

Kwanini uliniuliza ROHONI ni wapi ingalipo wafahamu ROHO NI KINYUME CHA MWILI? (SASA BILA KUTEGEMEA ROHO WA BWANA AKANILETA KWENYE HII POST YAKO YA JAN,21.. Can you imagine how strong spiritual Intelligence is?)

Basi KWA KUWA UMEFAHAMU MAANA YA ROHO... Hapo ndipo sehemu ya kumuabudu MUNGU.. (Mungu Tunamuabudu katika Roho na Kweli.. NI NGUMU KUMUABUDU MUNGU KATIKA MWILI, KWANI HUU MWILI NI DHAIFU SANA... ILA KATIKA ROHO YOTE YAWEZEKANA)

Poor you, "WANAAONGOZA ROHO ZA WENZAO?" Nikikuambia wewe ni demon possessed unakataa... Unaelewa maana ya mtu kuongoza roho yako? Hilo pepo likuachie ili utambue jinsi yako, na uwe huru kwa jina la Bwana.

Nakuuliza tena unisaidie, unaijua Gentamicin 🤣?
 
Poor you, "WANAAONGOZA ROHO ZA WENZAO?" Nikikuambia wewe ni demon possessed unakataa... Unaelewa maana ya mtu kuongoza roho yako? Hilo pepo likuachie ili utambue jinsi yako, na uwe huru kwa jina la Bwana.
A primitive and naive comment! Unakataa phrase "kuongoza roho za watu"! Kiongozi wa kiroho maana yake nini?
Are you a primary school kid?
 
A primitive and naive comment! Unakataa phrase "kuongoza roho za watu"! Kiongozi wa kiroho maana yake nini?
Are you a primary school kid?
Hahahahaha, ulichokikataa kwenye jicho la kiroho ndo unakikubali kwenye kiongozi wa kiroho...

Kwa ufupi sana, hao wamepewa dhamana na Mungu (Japo wapo wengi ambao wamejipa) ya kulilinda na kuhakikisha kundi lake linastawi.. Kiongozi wa roho yako ni MUNGU MWENYEZI, kinyume na hapo you're a demon possessed soul...

Mbona maswali yangu unayakimbia sana?
 
Manabii, makuhani, sio viongozi wa kiroho?
Yewe wa muhungu, alakomeye?
Poor you.. a real demon possessed man in a woman shadow... MUNGU AKUPONYE.

Hao ni WATUMWA WA BWANA, waite WATUMISHI WA MUNGU.. MUNGU MWENYEWE Amewachagua na KUWATUMA..

Mathayo 23:10
"Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo."

Hebu soma na hapa chini pia..

Tito 1:1
"Paulo, mtumwa wa Mungu, na mtume wa Yesu Kristo; kwa ajili ya imani ya wateule wa Mungu, na ujuzi wa kweli ile iletayo utauwa;"
 
Unadondosha maneno bila kuyatafsiri kama roboti!
Mtumwa wa Mungu kazi yake nini kama sio kuongoza roho za watu wa Mungu? Nakushangaa ujue!
 
Unadondosha maneno bila kuyatafsiri kama roboti!
Mtumwa wa Mungu kazi yake nini kama sio kuongoza roho za watu wa Mungu? Nakushangaa ujue!
Hahahahaha..

Mbona nimekujibu hao mnaowaita VIONGOZI WA KIROHO wanaitwa WATUMWA WA BWANA...

Kazi yao ya msingi ni KULILINDA NA KUHAKIKISHA KUNDI LA BWANA LINASTAWI...

Atleast waite VIONGOZI WA DINI (Kwa upeo wako wa dini...) Ila KATIKA ROHO KIONGOZI NI KRISTO (Rejea Mathayo 23:10)... Na wengineo ni WATUMWA WA BWANA, Mfano Petro, Ezekiel, na Paulo. (Rejea Tito 1:1)

Mambo ya roho.. ni kinyume na Mwili.
 
Kivipi kama sio kwa kufanya uongozi wa kiroho?
SIKULAUMU..

Hili JADILIANO Limekuzidi viwango sana, Wewe upo katika mwili wa nyama bado..

UNADHANI KUIONGOZA ROHO ni sawa na kupanga tozo za miamala ya simu?

KIONGOZI wa Roho ni KRISTO YESU... si paulo wala si gwajima.
 
Tatizo lako unafikiri hapa kuna mkatekumeni anayeweza kukubali mipasho ya kutofautisha "mwili wa nyama" na "mwili wa kiroho".

Kwa mujibu wa ushahidi mjaraba (emperical evidence), hatuwezi kujua kama kuna mwili wa kiroho ulioko nje ya tufe la mwanya-na-majira (space-time cube).

Tunaishi katika ulimwengu wa mwanya-na-majira wenye pande nne, yaani (x,y,z,t).

Tunaweza kupata ujuzi mjaraba (emperical knowledge) kuhusu yanayotokea kwenye limwengu wa mwanya-na-majira pekee.

Ni kwa njia hiyo, tunajua kuwa, kazi za kuongoza roho za watu katika ulimwengu huu hufanywa humu kupitia kwa madaktari, walimu, wahubiri, wasanii, wazazi, nk.

KIla mmoja katika nafasi yake anajenga hoja inayolenga kwenye akili ya msikilizaji.

Hoja ikikubalika kwa sababu za kiushahidi, kiongozi amefanikiwa. Kuongoza na kujenga hoja zenye uwezo wa kugusa na kubadili akili ya mtu baki.

Mengine yote unayoyafikiri kuhusu ujuzi wa kimantiki (logical knowledge) kuhusu limwengu ulio nje ya mwanya-na-majira watayakubali wakatekumeni wako wasiojua ABCs za metafizikia, epistemolojia na mantiki.
 
Tatizo lako unafikiri hapa kuna mkatekumeni anayeweza kukubali mipasho ya kutofautisha "mwili wa nyama" na "mwili wa kiroho".

Kwa mujibu wa ushahidi mjaraba, hakuna mwili wa kiroho ulioko nje ya space-time. Tunaishi katika ulimwengu wa muda na ujazo wenye pande nne (x,y,z,t).

Kazi za kuongoza roho za watu katika ulimwengu huu hufanywa na madaktari, walimu, wahubiri, wasanii, wazazi, nk. KIla mmoja katika nafasi yake anajenga hoja inayolenga kwenye akili ya msikilizaji.

Hoja ikikubalika kwa sababu za kiushahidi, kiongozi amefanikiwa. Kuongoza na kujenga hoja zenye uwezo wa kugusa na kubadili akili ya mtu baki.

Mengine yote unayoyafikiri watayakubali wakatekumeni na wakatekukeni.
NA NDIO MAANA NIMEKUAMBIA HOJA IMEKUZIDI UZITO...

Ukitaka KUJADILI Mambo ya MUNGU Anza na kifungu cha WAEBRANIA 11:1.

Wewe tatizo lako hujampa Mungu nafasi akufanye ujitambue.. ME au KE, na UPO Kwenye Sayansi au MUNGU.

Kuwa makini.
 
Ukitaka KUJADILI Mambo ya MUNGU Anza na kifungu cha WAEBRANIA 11:1.
Hapana. Ungesema hivi: "Ukitaka KUJADILI Mambo ya MUNGU wa Biblia..." Lakini, fahamu kuwa, nje ya Biblia unachokisema hakina uhalisia. Think outside the box...
 
Back
Top Bottom