Mgogoro wa viti maalum CHADEMA: Mbowe ana mkakati gani wa kuvunja kambi ya Askofu Bagonza, kambi ya Askofu Mwamakula, na kambi ya kina Mdee?

Hapana. Ungesema hivi: "Ukitaka KUJADILI Mambo ya MUNGU wa Biblia..." Lakini, fahamu kuwa, nje ya Biblia unachokisema hakina uhalisia. Think outside the box...
Kwani si tunamzungumzia Mungu wako wa "enjili"

Hahahahaha Umesahau ghafla?
 
Mimi kitaaluma ni TABIBU...

Nikikutibu Magonjwa ya zinaa lazima tujadili na TABIA HATARISHI..

HIVYO BASI, Kwa pamoja nagusa hoja (UGONJWA) na mtoa hoja (TABIA ZAKE HATARISHI)..

Najua hujanielewa, though upo in the same boat 🤣🤣🤣
 
HIVYO BASI, Kwa pamoja nagusa hoja (UGONJWA) na mtoa hoja (TABIA ZAKE HATARISHI)..
  1. Nataka mjadala wenye tija.
  2. Hapa tunatumia bando.
  3. Lazima litumike kwa faida.
  4. Kanuni za majadiliano sanifu haziruhusu hicho unachokifanya.
  5. Ni muhimu kutofautisha hoja na mleta hoja, ili tuweze kukataa hoja yake mbaya, kukubali hoja yake nzuri, na kuendelea kumkubali kama binadamu mwenzetu.
  6. Ni muhimu kutofautisha tabia na mleta tabia, ili tuweze kukataa tabia yake mbaya, kukubali tabia yake nzuri, na kuendelea kumkubali kama binadamu mwenzetu.
Zingatia.
 
USIJALI

mimi nimesha kukubali wewe, hivyo tabia zako mbaya nitakusaidia kuziondoa.

Mjadala huu naona umekuzidi.. maana kuna vitu huna upeo navyo kutokana na asili yako..

Kwa asili kabisa wewe ni mmoja ya watu ambao mpo KIMANTIKI sio imani (REJEA KOTE ambako nimekupiga.. nimekukanyaga.. nimekugonga.. NADHANI UNAELEWA) Lakini kwa BAHATI MBAYA ili KUFICHA ASILI YAKO Ukaamua KUJIBEBESHA MSALABA ambao ni MZITO.. UMEKUSHINDA, nakushauri kama unaitaka "enjili" kaa nayo itakusaidia kinyume na hapo... MUNGU AKUFUNGUE.

thanks.. Nisamehee nilipokukwaza katika mjadala huu, "Heavyweight" ambao "mapopoma" hawawezi kwenda nao sawa kutokana na "kutukuka kwake"

Do you know Gentamicin injection?
 
Back
Top Bottom