Mgogoro wa Tz vs Malawi: Msimamo wa Kambi ya Upinzani Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgogoro wa Tz vs Malawi: Msimamo wa Kambi ya Upinzani Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BORGIAS, Oct 7, 2012.

 1. B

  BORGIAS Senior Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hivi waziri kivuli wa mambo ya nje ana maelezo gani juu ya foreign policy ya tanzania na hususan huu mgogoro unaoendelea kati ya Tanzania na Malawi?
   
 2. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Kwani mipaka ya nchi inategemea sera za chama????
   
 3. t

  thread critic Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi waziri kivuli wa Foreign ni nani?
   
 4. c

  chama JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wapo busy na M4C mambo yenye kugusia usalama wa taifa hilo hawalijui; kama jambo halina maslahi kwao kisiasa hutawasikia; uliwasikia kwenye masahibu ya Dr. Ulimboka na Mwangosi kwasababu hoja hizo sina maslahi kwao.

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
 5. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hoja ya kinana ndio maana haina wachangiaji.
   
 6. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,177
  Likes Received: 1,181
  Trophy Points: 280
  ulimboka & Mwangosi??? Ni zaidi ya usahaulifu!
   
 7. g

  geophysics JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hili la mgogoro sisi wananchi hatulielewi...tunachojua sehemu ya Tanzania ni kama ilivyo katika raman..... Wakitaka za kuleta tuna wabomoa tu...Unajua ndugu zangu, kuna wanaume wa vyeo vya juu TZ wameenda kumuomba uroda huyu mama rais... Si unajua ukizamzoea mwanamke kimapenzi anaanza kuleta za kuleta kwa kudai vitu vya ajabu na vito vya thamani.... Mbona haya madudu hayakuwepo awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu ya utawala....? :spider:
   
 8. g

  geophysics JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tukimdekeza huyu mama atatunyea kwenye chakula tena kilicho mezani....... Akiona vipi aanze nasisi tutajibu
   
 9. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha ushabiki! Mambo ya mipaka ya nchi hayawezi kubebwa majukwaani na vyama vya upinzani! Haya si sera ya chama chochote! Ni majukumu ya msingi ya chama kilicho madarakani na yanapaswa yaungwe mkono kwa masilahi ya Tanzania kama nchi! Unataka waziri kivuli aseme twende vitani? Jeshi la kupigana na huyo unayemtaka analo?
   
 10. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Ni yule mwizi wa mataulo Dr Mwanjelwa.
   
 11. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kwakuwa JK ni Muislam anaruhusiwa kuoa wake zaidi ya Wawili kwann asishauriwe akampose huyo Bibie ili Malawi iwe 'Nyumba Ndogo' ya Tanzania?.. Nashauri tu
   
 12. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mpaka wa ziwa nyasa upo katikati! Piga ua garagaza! kama kuna mafisadi wamevuta mshiko toka malawi ili tuwaachie ziwa..imekula kwao.
   
 13. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135  Nadhani Waziri kivuli akitoa kauli kuonesha upinzani upo upande wa Serikali inatoa sura ya mshikamano wa Watanzania katika hili, na pia itadhibitisha kuwa katika mambo yenye maslahi makuu kwa taifa tunaondoa tofauti zetu.

  Kwa maana hiyo nadhani hapo hodogo umeteleza kidogo hapo. Waziri kivuli atoe tamko.
   
 14. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nilishasema mara kibao huyu mama anataka kufanyiwa kitu mbaya na majita wetu? Tena huyu nilikuwa naongea na JW mmoja kumuuliza vp endapo huyu mama akilianzisha hapo nyasa tunaweza kuitikia hiyo chorus? Akaniambia tutampiga kipigo cha paka mwizi. Tena pamoja na kwamba Cameroon ndo anampa kichwa but kama ni kichapo atatembezewa sanaaaa, tena akasema mikono inamuwasha sana eti ni muda mrefu hajaingia field/site za namna hiyo.
  Mungu aepushie mbali jamani coz pamoja na kumpiga huyo mama lakini maafa yatakuwa mengi pia wasiokuwa na hatia watapoteza maisha sana, na uchumi utazidi kudorora. God forbid!!
   
 15. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Unaelewa maana ya foreign policy ya nchi? Tafuta maana yake .......si dhani kama mbunge anaweza kuwa na jibu

   
 16. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  msimamo wa kambi rasmi ya upinzan uko wazi:kipigo tu no discussion mshindi kwenye hiyo battle anamiliki ziwa nyasa/malawi lote
   
 17. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Ebo...! Sasa CDM wachangie mambo ya ulinzi na usalama wao wana majeshi? Acha kufikiri kwa kutumia masaburi!
   
 18. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Highlander, nijuavyo mimi suala hili katika namna linavyoshughulikiwa na serikali linamridhisha kila mtanzania. Serikali inachukua hatua muafaka. Utakumbuka upinzani umekua ukiitwa kioo cha serikali iliyoko madarakani, hukosoa pale inapoonekana serikali haiwajibiki vya kutosha. Tumeona hayo yakifanyika kwa nguvu kubwa. Kuendelea kuyarudia yanayoeleweka wakati kuna mambo mengi yasiyoeleweka vizuri kuhusu nchi hii huko vijijini ni matumizi mabaya ya muda!
   
 19. a

  ambagae JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wanachotaka wao Ni kutawala tu inaonekana hawajali hata wakiingia madarakani wakute mikoa yote imemegwa wamebaki na mkoa hata Wilaya, tarafa, kata Au hata kijiji wao watatawala
   
 20. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana nawe, ila sema tu mtizamo wangu ni lile la umuhimu wa kuweka formality ya consent kutoka vyama vya upinzani. Mi nionavyo inaweza hata ikawa na impact ya kuwatia moyo serikali kwa upande mmoja, lakini pia kuwapa signal waliopo upande wa pili kwamba katika hili wanashindana na taifa lote kwa ujumla wake, na siyo kipande kidogo cha taifa kama ambavyo wanaweza kuwa pengine wanawaza.
   
Loading...