Mgogoro wa Tigray ni kielelezo dhahiri cha udhaifu wa AU

Omukailee

Member
Jul 20, 2020
38
30
Mzozo uliokosa suluhisho katika Jimbo linalotaka mamlaka ya ndani (Tigray) nchini Ethiopia ambao kiufupi uliwaka Moto Usiku wa tarehe 3-4 mwezi November mwaka 2020 wakati majeshi ya Tigray katika kundi la Tigray People's Liberation Front (TPLF) kupingana na majeshi ya Serikali (Ethiopian National Defense Force) kwa kipind kirefu Sasa mgogoro huu umekosa kabisa suluhisho na wakati bado haki za binadamu wasio na hatia zinaendelea kupotea kila kukicha.

swali ni je Kama mamlaka ya ndani ya Taifa hilo imeeshindwa kutoa suluhisho madhubuti katika mgogoro huu ipo wapi nguvu ya Umoja wa Mataifa huru ya Africa (AU) katika suala hili ambalo waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kiujumla ameshindwa katika suala hili kwa kutumia nguvu zaidi ya busara na je?

Yuko wapi Moussa Faki Mahamat na AU yake katika suala hili, hii Ni hakika umoja wa Afrika kuna mawili kati ya kutekeleza majukum yake chini ya shinikizo la magharibi au umoja huu hauna weledi kabisa kussetle masuala ya kiafrika, toka kwa Gaddafi bado sioni common stand ya AU. Ikumbukwe Abiy Ahmed Ni mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel 2019.

MUNGU SIMAMA NA WATU WA TIGRAY
 
Acha wapigwe tu, hao ni waasi na walishapewa muda wa kuweka silaha chini ila wakakaidi na mbaya zaidi wakawa wanaua jamii nyingine. Ni watu fulani wa kujiona special kuliko waethiopia wengine.
 
Back
Top Bottom